Timu ya Bongo Starz ilijumuika na timu za Uganda, Kenya, na Elitrea kwenye mashindano ya kusheherekea siku ya uhuru wa Uganda (Octoba 9, 2011) ndani ya…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Mnyika kuwasilisha muswada wa kudhibiti bei ya bidhaa muhimu
Na Mwandishi Wetu MBUNGE wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika (Chadema), amesema kuwa atapeleka muswada binafsi wa Sheria ya Udhibiti wa Bei ya bidhaa nchini…
Continue Reading....Maalim Seif: Watendaji Zanzibar chanzo cha uchafuzi wa mazingira
Na Mwinyi Sadallah Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema tabia ya watendaji kufungia sheria na kanuni za uhifadhi wa mazingira…
Continue Reading....Tanzania yapaa kwa rushwa Afrika Mashariki!
Tanzania imezidi kufanya vibaya katika mizania ya rushwa katika nchi tano za ukanda wa Afrika Mashariki, baada ya kupanda kutoka nafasi ya nne iliyokuwa ikiishikilia…
Continue Reading....Viongozi Chadema waachiwa huru
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliokamatwa juzi kwa madai ya kuvunja amri ya polisi ya kutofanya mkutano wa hadhara, wameachiwa huru. Viongozi…
Continue Reading....Mama Salma: Majungu na fitna sumu ya maendeleo
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, amewaonya wananchi kuepuka majungu, fitna na migongano kwani ni sumu ambayo kamwe haiwezi kuleta maendeleo. Mama Salma aliyasema hayo…
Continue Reading....