Na Danstan Mhilu MUUNGANISHO wa Ujasiriamali Vijijini (MUVI) Mkoa wa Ruvuma umetoa mafunzo kwa waendesha mashine za kukamua mafuta ya alizeti mjini hapa. Mafunzo hayo…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com
Mbatia apewa siku 21 kujieleza NCCR
HalmashauriI Kuu(NEC) ya Chama cha NCCR-Mageuzi, imempa Mwenyekiti wake, James Mbatia, siku 21 kujibu tuhuma zilizoelekezwa kwake na baadhi ya wanachama kwamba, ni pandikizi la…
Continue Reading....Jumuiya ya Watanzania Kusini mwa California yakutana pt 2
(Picha zote na Mpiga Picha Wetu)
Continue Reading....Jumuiya ya Watanzania Kusini mwa California Yakutana pt 1
(Picha zote na Mpiga Picha wetu)
Continue Reading....Jumuiya Ya Watanzania Kusini Mwa California Yakutana!
Na Mwandishi wetu, Los Angeles, CA JUMUIYA ya Watanzania kunisi mwa California ilikutana siku ya Jumamosi jijini Culver City na kujadili masuala mbalimbali kwa maendeleo ya…
Continue Reading....HASHIM RUNGWE: NCCR-Mageuzi inahitaji mabadiliko
Na Alfred Lucas – Imechapwa 19 October 2011 HASHIM Spunda Rungwe hajachuja kwa tambo. Anatamba bado angali na maarifa ya uongozi adilifu. Akiwa ni…
Continue Reading....