Licha ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya NCCR-Mageuzi kumvua uanachama Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, na wenzake watatu, chama hicho kimewapa siku 14 za…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com
Harakati za MUVI!
Ule Mradi wa Muunganisho Ujasiriamali Vijijini (MUVI) unaendelea na shughuli zake (Picha zote na Dunstan Mhilu)
Continue Reading....Polisi wawili watiwa mbaroni kwa kumpa kichapo Diwani
Askari Polisi wawili wa kituo cha Mgeta wilayani Mvomero mkoani Morogoro, wametiwa mbaroni kwa tuhuma za kumpiga Diwani wa Kata ya Kiteo, Exavery Msambara, kwa…
Continue Reading....Maambukizi ya VVU Jiji la Tanga yanatisha
Kiwango cha maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) katika Halmashauri ya Jiji la Tanga kimeongezeka kwa asilimia 8.7 zaidi ya kile cha kitaifa cha asilimia…
Continue Reading....Wasichana waongoza masomo ya Sayansi ARU
Wanafunzi wasichana, wameongoza katika orodha ya wanafunzi bora 95 wa fani tofauti za utaalamu wa matumizi ya ardhi wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), jijini…
Continue Reading....Wabunge CCM `Ndiyo`, Upinzani wasema `Hapana`
Baada ya Serikali kuongeza posho kwa wabunge, baadhi yao wametofautiana juu ya uamuzi huo huku wengine wakitaka Serikali iongeze posho kwa kada zote. Hivi karibuni,…
Continue Reading....