Joto la kisiasa katika Jimbo la Kigoma Kusini, linazidi kupanda, baada ya baadhi ya viongozi wa Chama cha NCCR-Mageuzi kutoka makao makuu kuingia jimboni humo…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Hamad Rashid mwisho
Baraza Kuu cha Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF) limewafukuza rasmi viongozi wanne wa chama hicho, akiwemo muasisi wake na Mbunge wa Jimbo la Wawi,…
Continue Reading....Hamad: Njama za Maalim Seif hizi
Msuguano kati ya Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, umefichua siri nzito,…
Continue Reading....Kafulila bado ni mbunge
Hatima ya ubunge wa David Kafulila aliyetangazwa kuvuliwa uanachama wa NCCR-Mageuzi na Halmashauri Kuu (NEC) ya chama hicho, hadi sasa bado kitendawili. Hali hiyo…
Continue Reading....Kafulila, wenzake hawajapewa barua kuvuliwa uanachama NCCR
UONGOZI wa NCCR-Mageuzi umeshikwa ghafla na kigugumizi baada ya hadi sasa kushindwa kumpa barua Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, na wenzake watatu, kuthibitisha uamuzi…
Continue Reading....Lema, Zitto, Mnyika, Mdee hawakamatiki
Wabunge vijana kupitia Chama Cha Demokrasia Maendeleo (Chadema), wameibuka washindi wa tuzo ya wabunge bora vijana kwa mwaka 2011. Tuzo hiyo inayojulikana kama “Mjengwablog…
Continue Reading....