Hongera sana Bi. Mwamvita Makamba kwa neema hii. Picha zote na Mange Kimambi
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com
Wanachama 136 wajiengua CUF
Mzimu wa kufukuzwa uanachama kwa Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed, na wenzake 10, umezidi kukiandama Chama cha Wananchi (CUF), baada ya wanachama wake 136,…
Continue Reading....Waziri Chami: Mimi ni mzima wa afya
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Cyril Chami, amesisitiza kuwa yeye si moja kati ya mawaziri wanaonekana kuwa mzigo katika uongozi wa awamu ya nne…
Continue Reading....Hamad Rashid aiwekea CUF pingamizi
Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohammed na wenzake 10, wamewasilisha Mahakama Kuu mapingamizi ya kisheria, wakidai kiapo kilichowasilishwa na Wakili Twaha Taslima anayewawakilisha wadhamini wa…
Continue Reading....Matanuzi ndani ya Jiji la San Francisco!
Picha zote na Mpiga picha wa thehabari, San Francisco
Continue Reading....CUF yamjibu Hamad Rashid, wenzake 10 mahakamani
Wadhamini wa Chama cha Wananchi (CUF) wamewasilisha Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam majibu dhidi ya maombi madogo ya Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid…
Continue Reading....