Jopo la madaktari jana lilianza kuuchunguza mwili wa aliyekuwa mcheza filamu maarufu nchini, Steven Kanumba, kwa lengo la kubaini sababu zilizosababisha kifo chake kilichotokea Jumamosi…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Chadema wadai CCM imeanza rafu Arumeru
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kuwa kinaandika barua ya malalamiko kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arumeru Mashariki, Trasias Kagenzi, dhidi ya Meneja…
Continue Reading....Kesi ya Hamad Rashid dhidi ya CUF yapaishwa
Muda wa kumalizika kwa kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama iliyofunguliwa na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed, na wenzake 10 dhidi ya Chama Cha Wananchi…
Continue Reading....Kifungo dereva ajali ya Chacha Wangwe batili
Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma wa kumhukumu kifungo cha miaka mitatu jela, dereva Deus Mallya aliyekuwa anamwendesha aliyekuwa Mbunge wa Tarime…
Continue Reading....JK: polisi acheni kuua raia
Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete, amelitaka Jeshi la Polisi kukomesha vitendo vya mauaji, unyanyasaji dhidi ya raia na ukiukaji maadili miongoni mwa askari kwani…
Continue Reading....Madiwani: Serikali itueleze Mwakyembe anaumwa nini
Baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela pamoja na wazee maarufu wa mji Kyela mkoani Mbeya, wamekutana kujadili suala la ugonjwa unaomsumbua Mbunge…
Continue Reading....