Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Rungwe Jr.
  • Page 3

Author: Rungwe Jr.

Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com

Katiba Inayopendekezwa ni Batili – CHAUMMA

Posted on: November 2, 2014 - Rungwe Jr.
Katiba Inayopendekezwa ni Batili – CHAUMMA

  Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA, leo kimeibua mapungufu na kasoro kubwa kwenye Katiba Inayopendekezwa, kwa kile ilichoeleza kuwa Katiba hiyo imewanyima wananchi wa…

Continue Reading....

Mjomba Aliyejichimbia Ughaibuni, Apatikana Baada ya Miaka 40!

Posted on: October 24, 2014October 24, 2014 - Rungwe Jr.
Mjomba Aliyejichimbia Ughaibuni, Apatikana Baada ya Miaka 40!

  Mhindi (pichani)  aliyefahamika kwa jina la Abdulla Punathil Usman amepatikana akiwa mgonjwa hospitalini, nchini Dubai. Usman hakuwa na mawasiliano na familia yake na wala hawakuwa…

Continue Reading....

Tamasha la Mpira wa Miguu Lililoandaliwa na Watanzania Kairo Lafana!

Posted on: October 7, 2014October 7, 2014 - Rungwe Jr.
Tamasha la Mpira wa Miguu Lililoandaliwa na Watanzania Kairo Lafana!

  Watanzania waishio mjini Kairo, Misri jana walijumuika na wenzao wa mataifa mengine kutoka Afrika katika mchezo wa mpira wa miguu, ambao kabumbu huwa linapigwa…

Continue Reading....

Ras Makunja na Ngoma Africa Band Wapagawisha Tena Ujerumani Kwenye Tamasha la Afrika!

Posted on: July 20, 2014July 20, 2014 - Rungwe Jr.
Ras Makunja na Ngoma Africa Band Wapagawisha Tena Ujerumani Kwenye Tamasha la Afrika!

Tamasha hili linafikia tamati leo tarehe 20/7/2014, baada ya kuanza tarehe 17/7/2014. Tamasha hili hufanyika kila mwaka hapa jijini Tuebingen, Ujerumani, ambapo waafrika hutumia fursa…

Continue Reading....

Tamasha la Waafrika Ujerumani Lafunika!

Posted on: July 20, 2014July 20, 2014 - Rungwe Jr.
Tamasha la Waafrika Ujerumani Lafunika!

Tamasha hili linafikia tamati leo tarehe 20/7/2014, baada ya kuanza tarehe 17/7/2014. Tamasha hili hufanyika kila mwaka hapa jijini Tuebingen, Ujerumani, ambapo waafrika hutumia fursa…

Continue Reading....

Ujenzi Mabondeni Waendelea Pamoja na Maafa ya Mvua Zilizopita!

Posted on: May 26, 2014May 26, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: Dar, wakazi
Ujenzi Mabondeni Waendelea Pamoja na Maafa ya Mvua Zilizopita!

Pamoja na notisi iliyobandikwa tarehe 13.5.2013, ikiwataka wabomoe majengo hayo. Wakazi hao wamepuuza notisi hiyo, na sasa nyumba hizo zimekamilika na wakazi wameshahamia. Mwandishi alishuhudia…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari