Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Rungwe Jr.
  • Page 29

Author: Rungwe Jr.

Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com

Dk. Slaa ahimiza kuwepo haki, matumaini

Posted on: April 18, 2012April 18, 2012 - Rungwe Jr.
Dk. Slaa ahimiza kuwepo haki, matumaini

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema kuzungumzia amani na utulivu majukwaani bila kwanza kudai kuwepo kwa haki na…

Continue Reading....

Anna Abdallah: Ubunge rushwa tupu

Posted on: April 16, 2012 - Rungwe Jr.
Anna Abdallah: Ubunge rushwa tupu

Mwenyekiti wa Ulingo wa Wanawake nchini, Anna Abdallah, amesema hakuna mgombea ubunge asiyetoa rushwa katika chaguzi, hali ambayo inayosababishwa na mfumo wa uchaguzi uliopo. Akizungumza…

Continue Reading....

Uchaguzi wa wabunge Afrika Mashariki hatihati

Posted on: April 16, 2012 - Rungwe Jr.
Uchaguzi wa wabunge Afrika Mashariki hatihati

Wakati Bunge likitarajia kufanya uchaguzi wa wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kesho, Kambi rasmi ya Upinzani bungeni, imetishia kwenda Mahakama ya Afrika Mashariki kama…

Continue Reading....

Mkapa awekwa `kiti moto` UDSM

Posted on: April 16, 2012 - Rungwe Jr.

Mzimu wa ubinafsishaji uliofanywa dhidi ya yaliyokuwa mashirika ya umma, unazidi kumuandamana Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, ingawa binafsi bado hajaona athari…

Continue Reading....

MCT- Msanii Lulu ahukumiwa na vyombo vya habari

Posted on: April 15, 2012 - Rungwe Jr.
MCT- Msanii Lulu ahukumiwa na vyombo vya habari

Kamati ya maadili ya Baraza la Habari Tanzania (MCT), imeeleza kusikitishwa kwake na ukiukwaji wa maadili uliojitokeza wakati wa kuripoti kesi ya mshtakiwa Elizabeth Michael…

Continue Reading....

RAMSEY NOUAH MOURNS LATE TANZANIAN ACTOR – STEVEN KANUMBA

Posted on: April 12, 2012April 12, 2012 - Rungwe Jr.
RAMSEY NOUAH MOURNS LATE TANZANIAN ACTOR – STEVEN KANUMBA

Popular Tanzanian and occasional Nollywood actor, Steven Kanumba, has been reported dead. The cause of his death has not been officially confirmed, but reports have…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari