Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), imependekeza kwa serikali iwakamate na kuwafikisha mahakamani maofisa wa serikali walioingia mkataba wa ukodishaji wa…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Mbunge anusurika ajalini
Mbunge wa Temeke (CCM), Abbas Mtevu, na watu wawili akiwemo dereva wake wamenusurika kifo baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupinduka katika kijiji cha Tabu Hotel…
Continue Reading....Hatma ubunge Lissu Aprili 27
Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma itatoa hukumu ya kesi ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), Aprili 27, mwaka huu 2012 baada ya kukamilika…
Continue Reading....Utamu, uchungu wa kimombo ubunge A. Mashariki
Lugha ya Kiingereza ambayo ni rasmi kwa shughuli za Bunge la Afrika Mashariki jana ilikuwa kikwazo kwa baadhi ya wagombea waliokuwa wanaomba nafasi za kuiwakilisha…
Continue Reading....Utajiri wa Steven Kanumba watajwa
Kamati Kuu ya Mazishi ya aliyekuwa msanii mashuhuri wa filamu nchini, marehemu Steven Kanumba, imedai msanii huyo amefariki dunia akiwa maskini, kinyume kabisa cha umaarufu…
Continue Reading....Wabunge: Vigogo dawa za kulevya wakamatwe
Wabunge jana walicharuka bungeni wakitaka vigogo wa dawa za kulevya wakamatwe na kufikishwa mahakamani kwani tatizo la dawa za kulevya limezidi kuwa kubwa sanjari na…
Continue Reading....