Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Rungwe Jr.
  • Page 27

Author: Rungwe Jr.

Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com

Kamati Kuu Chadema wakutana

Posted on: April 29, 2012 - Rungwe Jr.
Kamati Kuu Chadema wakutana

Kamati Kuu cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inakutana jana jijini Dar es Salaam, na moja ya ajenda ikielezwa ni kuendelea kuwabana mawaziri waliotuhumiwa…

Continue Reading....

Je unataka kula nyama ya Kobe?

Posted on: April 28, 2012April 28, 2012 - Rungwe Jr.
Je unataka kula nyama ya Kobe?

Mgahawa huu unapatikana ndani ya Jiji la Santa Barbara, California. Bila shaka Mgahawa huu unaenda sambamba na ule uliopo Jijini Los Angeles, ambao ni maarufu…

Continue Reading....

Mwanamke atiwa mbaroni akidaiwa kumuua mpenziwe

Posted on: April 27, 2012 - Rungwe Jr.
Mwanamke atiwa mbaroni akidaiwa kumuua mpenziwe

Polisi mkoani hapa, wanamshikilia Sabina Shirima (29), kwa tuhuma za kumchoma kwa kitu chenye ncha kali hadi kufa mwanamume anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake. Kamanda…

Continue Reading....

Pinda kuwaumbua mawaziri kesho

Posted on: April 22, 2012 - Rungwe Jr.
Pinda kuwaumbua mawaziri kesho

Baada ya kuingia vibaya katika mapumziko ya mwisho wa wiki, kesho Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, anawaumbua mawaziri wanaoshinikizwa kujiuzulu. Pinda amesema ataweka mambo hadharani kuhusu…

Continue Reading....

Iddi Simba adai fidia bil.12

Posted on: April 22, 2012 - Rungwe Jr.
Iddi Simba adai fidia bil.12

Aliyekuwa Mwenyekiti wa mradi wa ujenzi wa Machinjio, Idd Simba, amefungua kesi ya kutaka kulipwa kiasi cha Sh bilioni 12 kwa madai ya kudhalilishwa katika…

Continue Reading....

Ridhiwani amshukia Millya

Posted on: April 22, 2012 - Rungwe Jr.
Ridhiwani amshukia Millya

Mtoto wa Rais, Dk. Jakaya Kikwete, Ridhiwani Kikwete amemshukia aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Arusha, James Ole…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari