MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeshindwa kusoma hukumu dhidi ya kada wa CCM, Rajabu Maranda na binamu yake Farijala Hussein, kutokana…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com
Mwakyembe awaka
Siku chache baada ya kuanza kutumikia wadhifa wa Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema kuwa chanzo kikuu cha matatizo ya Shirika la Reli la…
Continue Reading....Matumizi ya Dola sasa marufuku
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, amesema serikali itaanza kutekeleza mkakati wa kulinda thamani ya Shilingi ya Tanzania ambayo imekuwa ikiporomoka thamani yake. Dk. Mgimwa…
Continue Reading....Mbunge wa Chadema azushiwa zengwe
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekanusha taarifa zilizozaa kwenye mitandao kuwa Mbunge wa Viti maalumu kupitia chama hicho, Leticia Nyerere, amekamatwa na uhamiaji kwa…
Continue Reading....Wengi zaidi wajitoa CCM, wakimbilia Chadema
Jinamizi la wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kukihama chama hicho limezidi kukiandama ambapo safari hii Kamanada wa vijana Kata ya Ilala jijini Dar es…
Continue Reading....