Serikali imesema uanzishwaji wa Mahakama ya Kadhi itakayoshughulikia migogoro na masuala mbalimbali ya usatawi wa Waislamu nchini umefikia katika hatua nzuri. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com
Dk.Ulimboka hali mbaya
Hali ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka ni mbaya na sasa madaktari wanatafuta Dola za Marekani 40,000 (Sh. milioni 63.07) ili…
Continue Reading....Hukumu ya Mnyika leo
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya kupinga ushindi wa Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), John Mnyika,…
Continue Reading....Sekta binafsi, Marekani kuendeleza kilimo
Sekta binafsi nchini kwa kushirikiana na watu wa Marekani kupitia Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID) wamekubalina kuendeleza ukuaji wa kilimo nchini kwa…
Continue Reading....