Picha ya juu:Mwenyekiti wa CHAUMMA, Mh. Wallace Mayunga akieleza mikakati na mipango ya chama kwa Mhariri ndani ya miezi mitatu ijayo Picha ya Kati: Mh.…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com
Wadau wa Marekani washirikiana na Thehabari kutoa misaada kwa watoto yatima
Picha zaidi zitawajia punde……
Continue Reading....Kilichozimwa Bungeni hiki hapa
SPIKA wa Bunge, Anna Makinda, mnamo 17 Julai, aliamuru sehemu ya hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuhusu makadirio ya matumizi ya Wizara ya…
Continue Reading....‘Mwanahalisi’ ni mchochezi au mfichua maovu na ubovu wa serikali?
RAMADHANI Ighondu, afisa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), ndiye ametajwa kuwa mtekelezaji wa mkakati wa utekaji wa Dk. Steven Ulimboka, MwanaHALISI limegundua. Afisa…
Continue Reading....Ikulu: Msafara wa Rais haukurushiwa mawe, ni uzushi
Ikulu imekanusha taarifa zilizoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari (sio NIPASHE) kuwa juzi msafara wa Rais Jakaya Kikwete ulirushiwa mawe na kulazimika kusimama kwa…
Continue Reading....Ulimboka apelekwa A. Kusini
Hatimaye Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka amesafirishwa jana, kwenda nchini Afrika Kusini kwa matibabu zaidi baada ya baadhi ya vipimo kukosekana…
Continue Reading....