Baraza la Habari Tanzania (MCT) jana lilisikiliza mashauri mawili yanayohusiana na vyombo vya habari kukiuka maadili ya uandishi na kuyatolea maamuzi. Shauri la kwanza lilihusu…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com
Ombaomba waongezeka Marekani!
Na muandishi wetu, Santa Barbara, California. Wimbi la ombaomba limekuwa ni kero kwa wakazi na watalii wa mji wa Santa Barbara hapa USA. Uchunguzi uliofanyika…
Continue Reading....Hospital ya Rufaa Tanga yapokea msaada wa mashuka 200
Picha zote na Monica Mnanka
Continue Reading....TheHabari Yaomboleza Kifo cha Zig Ziglar
MTANDAO huu unaungana na wamarekani pamoja na wadau wengine duniani walioutambua na kuuthamini mchango wa gwiji la uhamasishaji hapa Marekani na duniani kwa ujumla, Mzee…
Continue Reading....Pata historia ya Mji Mkongwe, Zanzibar
Picha zote na Mpiga Picha wetu, Zanzibar
Continue Reading....