Mshindi wa kiti cha uraisi katika uchauguzi mkuu wa Kenya kupitia muungano wa Jubilee, Uhuru Kenyatta amepingwa rasmi jana mbele ya Mahakama ya Juu ya…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Maalum kwa kina Dada: Sheria 10 za Kumridhisha mwanaume wako kimapenzi!
Mtaalam wa mapenzi, Bi. Layla Quinn, anasema wamaume ni viumbe rahisi sana kuridhishwa tunapokuja katika suala la unyumba. Mwanzoni, kitu kinachomhamasisha mwanaume kujamiiana ni muonekano…
Continue Reading....Rais Hugo Chavez Aaga Dunia!
Habari zilizotufikia mitamboni muda si mrefu, ni kwamba yule Rais machachari wa Venezuela kule America ya kusini amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa saratani. Rais…
Continue Reading....Taarifa ya Msiba San Diego, California
Ndugu Wanajumuia, Nina masikitiko makubwa kuwajulisha kwamba kaka mpendwa Mabula Aloys Nyamenda amefariki dunia February 22, 2013 hapo San Diego, California. Marehemu allikua akisumbuliwa na…
Continue Reading....Rais Jakaya Mrisho Kikwete aomboleza kifo cha Askofu Laizer
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa leo, Alhamisi, Februari 7, 2013, ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa…
Continue Reading....25th International Africa Festival
Lile tamasha kubwa la tamaduni za kiafrika litafanyika tena jijini Wurzburg, nchini Ujerumani kuanzia May 30 – June 2, 2013. Haya ndugu zangu, mnaotaka kuudhuria…
Continue Reading....