Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Rungwe Jr.
  • Page 2

Author: Rungwe Jr.

Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com

Wanasiasa Tanzania Wahusishwa na Mauaji ya Albino!

Posted on: February 26, 2015February 26, 2015 - Rungwe Jr.
Post Tags: Albino, Mauaji, serikali, tanzania
Wanasiasa Tanzania Wahusishwa na Mauaji ya Albino!

Katika makala iliyopewa jina la “Love in a Time of Fear: Albino Women’s Stories From Tanzania”, iliyorushwa kwenye gazeti la intaneti la Huffington Post (tarehe 25/10/2013…

Continue Reading....

Mauaji Haya ya Albino Mpaka Lini?

Posted on: February 26, 2015February 26, 2015 - Rungwe Jr.
Post Tags: Albino, Mauaji, serikali, tanzania
Mauaji Haya ya Albino Mpaka Lini?

      Na Evarist Chahali 25/2/2015   “Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote, Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana Nilalapo nakuwaza wewe,…

Continue Reading....

Ujumbe Wa Leo

Posted on: February 8, 2015 - Rungwe Jr.
Post Tags: leo, tanzania, Ufisadi, Ujumbe
Ujumbe Wa Leo

Continue Reading....

Maagizo ya Waziri Mkuu Pinda Yaendelea Kufanyiwa Kazi na Polisi!

Posted on: January 29, 2015April 26, 2015 - Rungwe Jr.
Post Tags: Bunge, Bungeni, mizengo, Pinda, tanzania, wananchi, Wapigwe, Watanzania
Maagizo ya Waziri Mkuu Pinda Yaendelea Kufanyiwa Kazi na Polisi!

Miezi kadhaa iliyopita waziri Mkuu Pinda alitoa maagizo wakati anazungumza bungeni kwamba Watanzania wataokuwa wanaandamana “wapigwe tu”. Tokea agizo hilo litolewe na mkuu huyu, polisi…

Continue Reading....

Tabia Kuu Tano Za Watu Waliofanikiwa Kimaisha!

Posted on: January 21, 2015January 22, 2015 - Rungwe Jr.
Post Tags: Badili, Badili Maisha Yako, Kuu, Maamuzi, Maisha, makuu, Mambo Nane, Nane, Tabia, Tatu, yako
Tabia Kuu Tano Za Watu Waliofanikiwa Kimaisha!

Kwanza, kabla sijaendelea embu tuwekane sawa kuhus hii falsafa ya “kufanikiwa kimaisha”, ina maana gani haswa? Ukweli ni kwamba watu wengi wakisikia fulani amefanikiwa kimaisha,…

Continue Reading....

Maamuzi Makuu Matatu Yanayoweza Kubadili Maisha Yako!

Posted on: January 5, 2015January 5, 2015 - Rungwe Jr.
Post Tags: Chuo cha Maisha
Maamuzi Makuu Matatu Yanayoweza Kubadili Maisha Yako!

  Ni maamuzi gani makuu matatu, ambayo ni muhimu kwa ubora wa maisha yako? MAAMUZI ambayo yanasababisha wewe  kuandaa mazingira ya utajiri au umaskini katika…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari