Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Rungwe Jr.
  • Page 18

Author: Rungwe Jr.

Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com

Matukio ya Kijeshi

Posted on: May 16, 2013 - Rungwe Jr.

Continue Reading....

Wastaafu wala mabilioni sawa na wizara

Posted on: April 27, 2013May 1, 2013 - Rungwe Jr.
Wastaafu wala mabilioni sawa na wizara

   SHERIA ya mafao ya viongozi wa umma ya mwaka 1999, iliyosainiwa na rais wa wakati huo Benjamin Mkapa na kufanyiwa marekebisho Juni, mwaka 2005,…

Continue Reading....

Kila Mwanaume Anaye Lala na Mimi Harudii Tena na Wala Simu Zangu Hapokei

Posted on: April 18, 2013April 18, 2013 - Rungwe Jr.
Kila Mwanaume Anaye Lala na Mimi Harudii Tena na Wala Simu Zangu Hapokei

MIMI ni mwanamke naandika hapa kuomba msaada wa mawazo maana sijui nina nini mimi…? Umri unanitupa mkono maana nakaribia miaka 35 lakini sijampata aliyewahi kunitangazia ndoa. Cha ajabu kila…

Continue Reading....

Vicheko vya Matumaini?

Posted on: April 14, 2013April 14, 2013 - Rungwe Jr.
Vicheko vya Matumaini?

Ni matumaini yetu kwamba waheshimiwa kwenye picha hapo hawacheki kwa unafiki, bali ni kwa mapenzi ya nchi yao ya Kenya. Wahenga walisema “Asiyekubali kushindwa si…

Continue Reading....

Naombeni Msinilaumu kwa Uamuzi Huu Niliouchukua kwa Mume Wangu…!

Posted on: April 11, 2013April 11, 2013 - Rungwe Jr.
Naombeni Msinilaumu kwa Uamuzi Huu Niliouchukua kwa Mume Wangu…!

    Mimi nimeolewa miaka 15 sasa na tumejaaliwa watoto 4. Ndoa yetu ilipofikisha miaka 4-5 mume wangu alicheat, nikamkamata through sms akapinga sn lakini…

Continue Reading....

Watanzania wamechoka kuomboleza

Posted on: April 5, 2013April 7, 2013 - Rungwe Jr.
Watanzania wamechoka kuomboleza

      Taifa bado linaomboleza jamaa na ndugu waliokufa katika ajali mbaya ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16 lililokuwa likiendelea kujengwa katika mtaa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari