Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Rungwe Jr.
  • Page 17

Author: Rungwe Jr.

Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com

Pinda anatupeleka wapi Watanzania?

Posted on: June 23, 2013June 24, 2013 - Rungwe Jr.

Hivi karibuni waziri mkuu, Mizengo Pinda alikaririwa na vyombo mbalimbali vya habari akisema “Wapigwe tu, watakao kataa kutii amri!…” wakati anazungumzia Bungeni vurugu zinazoendelea kutokeza…

Continue Reading....

Going global would assure Kiswahili’s eminent status

Posted on: June 19, 2013June 19, 2013 - Rungwe Jr.

In 2004, Kiswahili made history by becoming the first African language to be recognised as an official African Union (AU) language. The then AU chairman…

Continue Reading....

Mpigie kura Amir Nando abaki ndani ya nyumba!

Posted on: June 19, 2013 - Rungwe Jr.
Mpigie kura Amir Nando abaki ndani ya nyumba!

Amir anashiriki kwenye “Big Brother Africa”. Kwa sasa hivi anahitaji msaada wetu …Amir is up for eviction this week… Naomba tumpe vote ili asitolewe. Vilevile…

Continue Reading....

Nahisi Boss Wangu Anatembea na Mume Wangu, Nahofia Kazi Yangu

Posted on: June 2, 2013April 16, 2014 - Rungwe Jr.

HUU ni mwaka wa kumi sasa kwenye ndoa, na hivi karibuni nimegundua mabadiliko makubwa ya kitabia kwa mume wangu. Alikuwa hana kawaida ya kunipitia kazini…

Continue Reading....

Warsha ya Wazi Kujadili Matokeo ya Uchambuzi wa Kina Maeneo ya Kipaumbele ya Kitaifa

Posted on: May 23, 2013May 23, 2013 - Rungwe Jr.
Warsha ya Wazi Kujadili Matokeo ya Uchambuzi wa Kina Maeneo ya Kipaumbele ya Kitaifa

Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi (Ikulu) inawatangazia na kuwaalika wadau na wananchi wote kuhudhuria Warsha ya Wazi (Open Day) kupata maelezo, kujadili na kutoa maoni…

Continue Reading....

Mwinyi Ataka Novemba 30 Iwe Mapumziko Afrika Mashariki

Posted on: May 23, 2013May 23, 2013 - Rungwe Jr.
Mwinyi Ataka Novemba 30 Iwe Mapumziko Afrika Mashariki

Arusha, May 22, 2013 (EANA) – Rais wa zamani wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi amependekeza kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutangaza…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari