Habari ambazo dev.kisakuzi.com imezipata kutoka kwa baadhi ya Watanzania waishio Saint Petersburg, Urusi, ni kwamba Mtanzania aliyeweka makazi yake mjini hapo kwa muda mrefu Ndg.…
Continue Reading....Author: Rungwe Jr.
Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com
TOAST REMARKS BY HIS EXCELLENCY JAKAYA MRISHO KIKWETE, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, ON THE OCCASION OF THE STATE BANQUET IN HONOUR OF HIS EXCELLENCY BARACK OBAMA, PRESIDENT OF THE UNITED STATES OF AMERICA, ON 1ST JULY 2013, STATE HOUSE
Your Excellency Barack Obama, President of the United States of America and Madam; Your Excellency Dr. Ali Mohamed Shein, President of Zanzibar; Your Excellency Mizengo…
Continue Reading....Tanzania Ina hali mbaya kuelekea 2015
Wakati Tanzania ikielekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, wasiwasi umeanza kuzuka kwamba taifa hilo lililosifikana kuwa kisiwa cha amani katikati ya mataifa mengine yenye…
Continue Reading....MAANDALIZI YA MAPOKEZI YA OBAMA YAKAMILIKA, TASWIRA ZA IKULU ASUBUHI HII
Taswira mbalimbali zinazoonesha maandalizi ya mapokezi makubwa ya Rais wa Marekani Barack Obama atapowasili Ikulu jijini Dar es salaam mchana huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete…
Continue Reading....WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA
Wadau, kumradhi kwani huu wosia (ufuatao hapo chini) wa “Lady Jay Dee” ulitolewa week Kandhaa zilizopita, ila kwa sabubu moja au nyingine, haukuweza kutufikia mitamboni…
Continue Reading....