Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Rungwe Jr.
  • Page 15

Author: Rungwe Jr.

Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com

Tuienzi lugha ya Kiswahili kwa kuzungumza

Posted on: July 25, 2013July 26, 2013 - Rungwe Jr.
Tuienzi lugha ya Kiswahili kwa kuzungumza

WAJUMBE wa Baraza la Katiba Manispaa ya Moshi, wamependekeza kuongezwa kwa wigo wa matumizi ya lugha ya Kiswahili na kutaka viongozi wa kitaifa kuhutubia kwa…

Continue Reading....

Mtanzania Auwawa Kinyama Nchini Marekani!

Posted on: July 10, 2013July 10, 2013 - Rungwe Jr.
Mtanzania Auwawa Kinyama Nchini Marekani!

Omar Sykes (D.C. police) MTANZANIA mwenzetu, Ndg. Omar Sykes (22), ambaye alikuwa ni mwanafunzi wa Chuo cha Haward University huko Washington DC, ameuwawa kinyama kwa…

Continue Reading....

Dawa ya Wanaume Wafupi Hii Hapa…!

Posted on: July 5, 2013July 5, 2013 - Rungwe Jr.
Dawa ya Wanaume Wafupi Hii Hapa…!

KAMA wewe ni Mwanaume halafu ni mfupi kama kashata na bahati mbaya udongo uliishia katikati mapema wakati sura yako inatengenezwa, na hela ya kuhonga huna…Naelewa…

Continue Reading....

Mtanzania aliyejinyonga Nchini Urusi, kuzikwa Urusi

Posted on: July 4, 2013July 4, 2013 - Rungwe Jr.
Mtanzania aliyejinyonga Nchini Urusi, kuzikwa Urusi

Mtanzania mwenzetu Ndg. Shabani Japhari, ambaye amefariki tarehe 1 mwezi huu, kwa kujinyonga mjini Saint Petersburg, nchini Urusi, anatarajiwa kuzikwa nchini humo Juma hili. Kwa…

Continue Reading....

Remarks by President Obama at Business Leaders Forum

Posted on: July 2, 2013 - Rungwe Jr.
Remarks by President Obama at Business Leaders Forum

Venue: Hyatt Kilimanjaro, Dar es Salaam, Tanzania | July 1, 2013 PRESIDENT OBAMA: Thank you. (Applause.) Please have a seat. I apologize that we were…

Continue Reading....

RAIS KIKWETE AMWANDALIA RAIS BARACK OBAMA DHIFA YA KITAIFA IKULU

Posted on: July 2, 2013 - Rungwe Jr.
RAIS KIKWETE AMWANDALIA RAIS BARACK OBAMA DHIFA YA KITAIFA IKULU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wageni wake Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakati wa dhifa ya kitaifa aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari