Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Rungwe Jr.
  • Page 12

Author: Rungwe Jr.

Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com

Dalili 6 Zinazopelekea Mwanamke Kufikiria Kuchit!

Posted on: September 29, 2013April 16, 2014 - Rungwe Jr.
Dalili 6 Zinazopelekea Mwanamke Kufikiria Kuchit!

Kwa mujibu wa Jarida maarufu la MensHealth, kuwa makini na sababu vyanzo vifuatavyo, ambavyo vinaweza kupelekea mke au mpenzio kutoka nje, yaani “Kuchit”. 1. Anatimiza…

Continue Reading....

Mwili wa Mwanajeshi Aliyefariki huko DRC Waagwa Lugalo

Posted on: September 24, 2013September 24, 2013 - Rungwe Jr.
Mwili wa Mwanajeshi Aliyefariki huko DRC Waagwa Lugalo

Mwanajeshi aliyefariki huko Goma, DRC wakati analinda amani ameagwa rasmi Jana katika Kambi ya Lugalo. Mwanajeshi huyo alifahamika kama Pete Hugo Barnabas Munga mwenye namba…

Continue Reading....

Rais Kikwete ashangazwa na uongozi wa wanasiasa

Posted on: September 19, 2013 - Rungwe Jr.
Rais Kikwete ashangazwa na uongozi wa wanasiasa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameshangazwa na kiwango cha uongo cha baadhi ya wanasiasa na hasa madai kuwa Rais…

Continue Reading....

Rais Kikwete : Acheni kuisema, kuikejeli nchi yetu, iteteeni

Posted on: September 17, 2013 - Rungwe Jr.
Rais Kikwete : Acheni kuisema, kuikejeli nchi yetu, iteteeni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewataka Watanzania kuisemea, kuijenga na kuitetea nchi yao badala ya kushiriki katika kuikejeli na…

Continue Reading....

Hatuwezi kuendelea kuomba misaada na hisani – Rais Kikwete

Posted on: September 17, 2013 - Rungwe Jr.
Hatuwezi kuendelea kuomba misaada na hisani – Rais Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Tanzania haiwezi kuendelea kuwa nchi ya kuomba na kupokea misaada na hisani…

Continue Reading....

Hatutawatetea wabeba dawa za kulevya – Rais

Posted on: September 17, 2013 - Rungwe Jr.
Hatutawatetea wabeba dawa za kulevya – Rais

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Serikali yake haitawatetea Watanzania wanaokamatwa wamebeba dawa za kulevya nje ya nchi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari