Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Rungwe Jr.
  • Page 11

Author: Rungwe Jr.

Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com

Ushiriki wa Tanzania Kwenye Kongamano la TEHAMA la Dunia la ITU

Posted on: November 21, 2013November 21, 2013 - Rungwe Jr.
Ushiriki wa Tanzania Kwenye Kongamano la TEHAMA la Dunia la ITU

Na Innocent Mungy – Bangkok Thailand TANZANIA inashiriki katika Kongano la TEHAMA la Dunia linaloandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa linalosimamia Mawasiliano Duniani (ITU-International…

Continue Reading....

‘Tanzania Police Most Corrupt in EAC’

Posted on: October 29, 2013October 30, 2013 - Rungwe Jr.
‘Tanzania Police Most Corrupt in EAC’

29th October 13 The Guardian Reporter Tanzania’s police force has the highest number of bribe cases in the entire East African Community, according to the…

Continue Reading....

Rais atoa Rambirambi za Msiba wa “Uncle J. Nyaisanga”

Posted on: October 21, 2013October 21, 2013 - Rungwe Jr.
Rais atoa Rambirambi za Msiba wa “Uncle J. Nyaisanga”

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Dkt. Fenella…

Continue Reading....

Zijue Faida 4 za Ndoa

Posted on: October 16, 2013April 16, 2014 - Rungwe Jr.
Zijue Faida 4 za Ndoa

Rabbi Shmuley katika pozi WANAWAKE wengi ambao hawajaolewa (Singles) wanaweza wakaangalia baadhi ya ndoa za marafiki zao na kuona mahusiano mabovu na wanandoa ambao hawana…

Continue Reading....

Ommy Dimpoz Kutumbuiza Los Angeles, Marekani Leo!

Posted on: October 6, 2013 - Rungwe Jr.
Ommy Dimpoz Kutumbuiza Los Angeles, Marekani Leo!

Ommy Dimpoz akiwa katika pozi Ommy Dimpoz akiwa na kikosi chake. Yule mwanamuziki machachari wa kizazi kipya kutoka Tanzania atakuwepo Los Angeles Leo kutumbuiza Wabongo…

Continue Reading....

Rais Jakaya Kikwete Arejea Nchini Akitokea Marekani na Canada

Posted on: September 30, 2013September 30, 2013 - Rungwe Jr.
Rais Jakaya Kikwete Arejea Nchini Akitokea Marekani na Canada

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari