Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Rungwe Jr.
  • Page 10

Author: Rungwe Jr.

Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com

BREAKING NEWS: Mandela Aaga Dunia!

Posted on: December 5, 2013December 6, 2013 - Rungwe Jr.
BREAKING NEWS: Mandela Aaga Dunia!

Kwa masikitiko makubwa, habari zilizotufikia hivi punde kutoka CNN, zinasema mzee wetu Nelson Mandela, ambaye ni baba wa taifa la Afrika ya Kusini, na kiongozi…

Continue Reading....

Kikwete: Kuwapo kwa Tofauti ya Vyama Siyo Sababu ya Kugombana

Posted on: November 30, 2013April 25, 2014 - Rungwe Jr.
Kikwete: Kuwapo kwa Tofauti ya Vyama Siyo Sababu ya Kugombana

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa mwanasiasa anayeamua kupigana kwa sababu ya upinzani ama ushabiki wa kisiasa basi…

Continue Reading....

Kasi ya Kusambaza Huduma za Umeme na Maji Kuongezwa

Posted on: November 27, 2013 - Rungwe Jr.
Kasi ya Kusambaza Huduma za Umeme na Maji Kuongezwa

Rais Jakaya Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Serikali yake itaongeza kwa kiasi kikubwa kasi ya kusambaza…

Continue Reading....

Tume ya Mabadiliko ya Katiba Yaongezewa Muda wa Kukamilisha Majukumu Yake

Posted on: November 27, 2013November 27, 2013 - Rungwe Jr.
Tume ya Mabadiliko ya Katiba Yaongezewa Muda wa Kukamilisha Majukumu Yake

Pichani, ni Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mstaafu Mh. Joseph Warioba(Kulia) na Makamu wake, Jaji Mstaafu Mh. Augustino Ramadhani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…

Continue Reading....

Rais Atoa Salamu za Rambirambi Msiba wa Peter Mangula

Posted on: November 27, 2013November 27, 2013 - Rungwe Jr.
Rais Atoa Salamu za Rambirambi Msiba wa Peter Mangula

Baba mzazi wa Marehemu Peter (Pichani), Mzee Mangula, ambaye ni Makamu Mwenyeiti wa CCM Taifa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya…

Continue Reading....

Rais Atoa Rambirambi Msiba wa Ndg. Dunia Mzobora

Posted on: November 27, 2013 - Rungwe Jr.
Rais Atoa Rambirambi Msiba wa Ndg. Dunia Mzobora

Marehemu Mzobora enzi za uhai wake. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa Habari,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari