Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Rungwe Jr.

Author: Rungwe Jr.

Hashim Rungwe Jr., ni Muhitimu wa Sayansi ya Siasa(Political Science) kutoka Chuo cha Santa Barbara, jijini California. Amekuwa miongoni mwa waasisi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania jijini St. Petersburg, nchini Urusi, na kuongoza Jumuiya hiyo kama Katibu Mkuu na baadae Makamu Mwenyekiti (2002 - 2005). Amekuwa msaidizi wa masuala ya kiufundi katika kampeni ya Mh. Josh Lynn katika uchaguzi wa mwanasheria mkuu wa kitongoji cha Santa Barbara mwaka 2009. kwa sasa ni muasisi mshiriki, na Mhariri Mkuu Kiongozi wa dev.kisakuzi.com, USA. Unaweza kumuandikia kupitia rungwe@dev.kisakuzi.com

Je Unaishi Maisha Bora Au Bora Maisha? Sehemu ya 3

Posted on: October 3, 2015October 3, 2015 - Rungwe Jr.
Post Tags: Bora, Maisha, Maisha Bora, Sehemu, Wanajamvi, Zig, Ziglar
Je Unaishi Maisha Bora Au Bora Maisha? Sehemu ya 3

  Wanajamvi, leo tunaingia sehemu ya tatu, na ya mwisho ya makala yetu yenye kichwa cha habari hapo juu. Mara nyingine tena, kama umepitwa na…

Continue Reading....

Je Unaishi Maisha Bora Au Bora Maisha? Sehemu ya 2

Posted on: September 22, 2015December 9, 2015 - Rungwe Jr.
Post Tags: Je, Maadili, Maisha Bora, mapenzi, Sifa, umasikini
Je Unaishi Maisha Bora Au Bora Maisha? Sehemu ya 2

Wanajamvi wa Chuo Cha Maisha natumai wote mnaendelea vema. Leo tupo katika sehemu ya pili ya mtiririko wa zile sifa 15, ambazo mtaalam Ziglar ametuwekea…

Continue Reading....

Je Unaishi Maisha Bora Au Bora Maisha?

Posted on: September 14, 2015December 9, 2015 - Rungwe Jr.
Je Unaishi Maisha Bora Au Bora Maisha?

  Kwanza tusameheane ndugu zangu kwa kupotea kidogo kwenye ukurasa huu kutokana na majukumu mengine ya maisha. Pia, napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru nyinyi wasomaji…

Continue Reading....

Kwanini Hakuna Nakala Za Kutosha Za “Katiba Pendekezwa”?

Posted on: June 8, 2015 - Rungwe Jr.
Kwanini Hakuna Nakala Za Kutosha Za “Katiba Pendekezwa”?

Kama katiba inayopendekezwa inafaa, kwanini CCM hawasambazi nakala za kutosha, ili wananchi wajisomee wenyewe? Rais anatukumbusha kila wakati kwamba “akili za kuambiwa changanya na zakwako”…

Continue Reading....

Tundu Lissu Achambua Sheria ya Mtandao (Cyber Law)

Posted on: May 5, 2015May 5, 2015 - Rungwe Jr.
Tundu Lissu Achambua Sheria ya Mtandao (Cyber Law)

Nakiri kwamba bado sijapata fursa ya kuipitia kwa kina hii sheria ya masuala ya mitandao (Cyber Law). Nikiwa kama mdau nitakayeguswa moja kwa moja na…

Continue Reading....

Kiswahili Dhidi ya Kiingereza au Kiswahili Pamoja na Kiingereza?

Posted on: March 15, 2015March 15, 2015 - Rungwe Jr.
Kiswahili Dhidi ya Kiingereza au Kiswahili Pamoja na Kiingereza?

        Kwa ufupi Hoja ya watetezi wa Kiingereza inajumuisha pia madai kuwa kuendelea kutumia Kiswahili, ni kuwafanya Watanzania washindwe kushindana kiuchumi katika…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
thehabari