Author: jomushi
FFU- Ughaibuni Yafunika Tamasha la Challenge Festival Dortmund
Ngoma Africa band wawatia kiwewe mashabiki wake katika Challenge Festival Dortmund Ujeruman Juni 7,katika tamasha lililoandaliwa na umoja wa wakameruni waishio nchini Ujerumani. Si wengine bali…
Continue Reading....Ratiba ya Mechi za Kombe la Dunia 2014 (World Cup Table)
Ratiba ya Mechi za Kombe la Dunia (World Cup Table) Kwa masaa ya Afrika Mashariki (East African Time): 12-6-2014 23:00 Croatia v Brazil 13-6-2014 19:00…
Continue Reading....Majambazi Yateka Kituo cha Polisi, Yaua Askari na Kuiba Bunduki
HILI linawezekana kuwa ni tukio la kwanza na la aina yake. Majambazi wanaokisiwa kuwa sita, wakiwa na pikipiki tatu, juzi walivamia Kituo Kidogo cha Polisi…
Continue Reading....Wananchi Waeleza Mafanikio ya Utafiti Raghbishi wa TGNP
WANAHARAKATI ngazi ya jamii kutoka mikoa ya Morogoro, Shinyanga, Mbeya, Mara na Jijini Dar es Salaam wamesema utafiti wa kiragibishi unaofanywa na Mtandao wa Jinsia…
Continue Reading....Wapiganaji Waislamu Wateka Mikoa Iraq
WAPIGANAJI wa Kiislamu wanadaiwa kuendelea na kuteka maeneo zaidi nchini Iraq, katika hatua ambayo Marekani imetaja kama ni tishio kwa eneo zima. Polisi wa Iraq…
Continue Reading....