WATU wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa Kiislamu wameshambulia kituo cha polisi, hoteli na vijiji mjini Mpeketoni, pwani ya nchini ya Kenya. Makabiliano makali yameripotiwa kutokea sehemu…
Continue Reading....Author: jomushi
ARVs Zapungua Nchini Watumiaji Matatani…!
MAISHA ya baadhi ya watu wanaotumia dawa za kufubaza makali ya ugonjwa wa Ukimwi (ARVs), yapo hatarini, baada ya kupungua kwa dawa hizo nchini na…
Continue Reading....Bomu Laua Mmoja na Kujeruhi 7 Zanzibar
MTU mmoja amefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa baada ya kurushiwa bomu na watu wasiojulikana katika eneo la Darajani, muda mfupi baada ya kuhudhuria mawaidha…
Continue Reading....Hafla ya Uzinduzi wa Tamasha la 17 la ZIFF Zanzibar
Makamu wa Rais wa Pili wa Zanzibar, Balozi Sefu Ali Iddi akisalimiana na baadhi ya wageni alipowasili kwenye ufunguzi wa Tamasha la 17 la ZIFF…
Continue Reading....Ali Vuai Afunguwa Semina ya Viongozi wa CCM Wilaya ya Ludewa
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai akifungua semina ya wenyeviti, Makatibu na Makatibu Wenezi wa CCM wilaya ya Ludewa . Mwenyekiti wa…
Continue Reading....Rais Kikwete Atuma Salamu za Rambirambi kwa SMZ
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za pole Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kufuatia kuuawa kwa mtu mmoja na wengine…
Continue Reading....