Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 826

Author: jomushi

Rais Kikwete Ataja Kazi za Kufanya Baada ya Uraisi

Posted on: June 21, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Kikwete Ataja Kazi za Kufanya baada ya Urais
Rais Kikwete Ataja Kazi za Kufanya Baada ya Uraisi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jakaya Kikwete amesema kuwa anakusudia kurejea darasani kushika…

Continue Reading....

Mechi ya Uingereza na Italia Yaongoza kwa Idadi ya Pasi

Posted on: June 21, 2014 - jomushi
Post Tags: Uingereza na Italia Kombe la Dunia
Mechi ya Uingereza na Italia Yaongoza kwa Idadi ya Pasi

MECHI ya mchezo wa fainali za Kombe la Dunia kundi ‘D’ kati ya timu ya Taifa ya Uingereza na Itali ndiyo inayoongoza kwa kuwa mechi…

Continue Reading....

Serikali Yamchunguza Aliyepewa Zawadi ya Mke Kijijini

Posted on: June 20, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Zawadi ya Mke Kijijini
Serikali Yamchunguza Aliyepewa Zawadi ya Mke Kijijini

TUME inayohusika na masuala ya usawa wa kijinsia nchini Afrika Kusini inafanya uchunguzi kuhusu madai kuwa Mkuu wa Shirika la Habari la SABC nchini humo…

Continue Reading....

Uganda Yasema Haitishwi na Vikwazo vya Marekani Kuhusu Ushoga

Posted on: June 20, 2014 - jomushi
Post Tags: Vikwazo vya Marekani Kuhusu Ushoga
Uganda Yasema Haitishwi na Vikwazo vya Marekani Kuhusu Ushoga

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Uganda, Balozi James Mugume, amesema kuwa Uganda haitishwi na vikwazo ilivyowekewa na Marekani kama hatua ya…

Continue Reading....

Proin Promotions Washerekea Hitimisho la Shindano la TMT

Posted on: June 20, 2014 - jomushi
Post Tags: Shindano la TMT
Proin Promotions Washerekea Hitimisho la Shindano la TMT

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Proin Promotions katika Mradi wa Kusaka vipaji vya Kuigiza Nchini TMT (Tanzania Movie Talents) wakishangilia kwa kufungua Mvinyo usio na kilevi…

Continue Reading....

Mfuko wa Janga la Moto Soko la Mchikichini Waanzishwa

Posted on: June 20, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Janga la Moto Soko la Mchikichini
Mfuko wa Janga la Moto Soko la Mchikichini Waanzishwa

Na Aron Msigwa – Maelezo, Dar es Salaam BAADHI ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wamejitokeza kuanzisha mfuko maaluum wa kuwasaidia wafanyabiashara wapatao…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari