Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 823

Author: jomushi

EAC Yaanza Kampeni za Kuhamasisha Jamii Mipakani

Posted on: June 27, 2014 - jomushi
EAC Yaanza Kampeni za Kuhamasisha Jamii Mipakani

Na Denis Bizimana, EANA Mpango wa kanda wa kuelimisha jamii kufahamu faida na fursa zilizopo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa wananchi wanaoishi maeneo…

Continue Reading....

Dk Kigoda Aongoza Mkutano wa 99 wa Baraza la Mawaziri wa Afrika

Posted on: June 27, 2014 - jomushi
Dk Kigoda Aongoza Mkutano wa 99 wa Baraza la Mawaziri wa Afrika

DKT. ABDALLAH OMARI KIGODA (MB.), WAZIRI WA VIWANDANA BIASHARA AONGOZA MKUTANO WA 99 WA BARAZA LA MAWAZIRI WA AFRIKA, CARIBEAN NA PASIFIC NA MKUTANO WA…

Continue Reading....

Ukeketaji Wanawake ni Udhalilishaji – Waziri Sophia Simba

Posted on: June 26, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Ukeketaji Wanawake ni Udhalilishaji
Ukeketaji Wanawake ni Udhalilishaji – Waziri Sophia Simba

SERIKALI imesema kitendo cha baadhi ya makabila kuendeleza mila za kuwakeketa wanawake na watoto ni ukatili mkubwa ambao umekuwa na madhara kiafya kwa anayetendewa. Kauli hiyo…

Continue Reading....

Washiriki wa Fainali za TMT Watembelea Global Publishers Limited

Posted on: June 26, 2014June 26, 2014 - jomushi
Post Tags: Global Publishers Limited
Washiriki wa Fainali za TMT Watembelea Global Publishers Limited

  Washiriki wa fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambao ni washindi wa TMT kutoka kanda sita za Tanzania wakisikiliza maelezo kwa makini…

Continue Reading....

Bongo Movie Wapinga Siasa Kuhusishwa na ‘I Love Mwanza’

Posted on: June 26, 2014 - jomushi
Post Tags: Bongo Movie Wapinga Siasa
Bongo Movie Wapinga Siasa Kuhusishwa na ‘I Love Mwanza’

  Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere (katikati) akitoa taarifa ya uzinduzi wa filamu ya “I Love Mwanza” kujihusisha na masuala ya kisiasa. Kuanzia kushoto kwa…

Continue Reading....

APRM Yapata CEO Mpya, Ni Dk. Ibrahim Mayaki

Posted on: June 26, 2014 - jomushi
Post Tags: APRM Yapata CEO Mpya, Dk. Ibrahim Mayaki, featured
APRM Yapata CEO Mpya, Ni Dk. Ibrahim Mayaki

Na Mwandishi Wetu, Malabo MPANGO wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) umempata Mtendaji wake Mkuu mpya atakayeongoza ofisi ya taasisi hiyo katika ngazi ya Bara…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari