Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 820

Author: jomushi

Mfuko wa PPF na Huduma kwa Wateja Sabasaba

Posted on: July 1, 2014 - jomushi
Mfuko wa PPF na Huduma kwa Wateja Sabasaba

Mfuko wa PPF na Huduma kwa Wateja Sabasaba Afisa Kanda Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Monica Mbogoni akimuhudumia mmiliki wa Mtandao wa…

Continue Reading....

Pinda Awataka Viongozi wa Dini Kuombea Uchaguzi Serikali za Mitaa

Posted on: July 1, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Viongozi wa Dini
Pinda Awataka Viongozi wa Dini Kuombea Uchaguzi Serikali za Mitaa

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini kote nchini na wananchi waungane pamoja ili kuombea uchaguzi mkuu wa viongozi wakuu wa Rais, wabunge na…

Continue Reading....

Serengeti Boys Kuikabili Afrika Kusimi

Posted on: July 1, 2014 - jomushi
Post Tags: Serengeti Boys
Serengeti Boys Kuikabili Afrika Kusimi

TIMU ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) inaendelea vizuri na mazoezi kujiandaa kwa mechi ya mashindano dhidi ya Afrika…

Continue Reading....

Wanamichezo Waahidi Medali Mashindano ya Olympic

Posted on: July 1, 2014 - jomushi
Post Tags: Mashindano ya Olympic
Wanamichezo Waahidi Medali Mashindano ya Olympic

Na Frank Shija, WHVUM WANAMICHEZO waahidi kuleta medali katika mashindano ya Olympic yanayotarajia kuanza Julai 23 jijini Glasgow Scotland. Akizungumza mara baada ya kuwasili nchini…

Continue Reading....

​​​​SHUGA Kupunguza Maambukizi ya VVU Sengerema

Posted on: July 1, 2014 - jomushi
​​​​SHUGA Kupunguza Maambukizi ya VVU Sengerema

Meneja wa kituo cha Sengerema FM Redio, Ndg. Felician Ncheye, akitoa nasaha za ukaribisho kwa washiriki wa mradi wa SHUGA na mgeni rasmi. Katikati ni…

Continue Reading....

Waziri Pinda Azungumzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Posted on: July 1, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Waziri Pinda Azungumzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Waziri Pinda Azungumzia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba mwaka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari