Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 805

Author: jomushi

Maadhimisho Miaka 75 ya Uhai wa TAG

Posted on: July 14, 2014 - jomushi
Maadhimisho Miaka 75 ya Uhai wa TAG

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 75 YA KANISA LA TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD,…

Continue Reading....

Mtanzania Mzalendo Aishauri Serikali Kuhamia Dodoma

Posted on: July 14, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Makao makuu ya Tanzania
Mtanzania Mzalendo Aishauri Serikali Kuhamia Dodoma

Lorietha Laurence na Rose Masaka (SJMC) SERIKALI imeshauriwa kuendeleza mchakato wa kuhamisha ofisi zote zake mkoani Dodoma kwenye makao makuu ya nchi yetu ili kuweza kupunguza msongamano…

Continue Reading....

Rais Kikwete Afuturisha Wananchi Mkoani Mbeya

Posted on: July 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Rais Kikwete afuturisha Mbeya
Rais Kikwete Afuturisha Wananchi Mkoani Mbeya

Continue Reading....

Ulimwengu, Samata Kuongeza Nguvu Taifa Stars

Posted on: July 14, 2014 - jomushi
Ulimwengu, Samata Kuongeza Nguvu Taifa Stars

WASHAMBULIAJI Thomas Ulimwengu na Mbwana Samata wa klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wanawasili nchini keshokutwa alfajiri (Julai 16 mwaka…

Continue Reading....

JK Apongeza Vyama vya Siasa, Ashauri Viongozi wa Dini Kuombea Bunge

Posted on: July 14, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, JK Apongeza Vyama vya Siasa
JK Apongeza Vyama vya Siasa, Ashauri Viongozi wa Dini Kuombea Bunge

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amevipongeza vyama vinne vikuu vya siasa nchini ambavyo vimeanzisha majadiliano ya kutafuta namna wajumbe waliosusia Bunge…

Continue Reading....

Jhikoman Atembelea Shule ya Muziki Ujerumani

Posted on: July 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Jhikoman nchini Ujerumani
Jhikoman Atembelea Shule ya Muziki Ujerumani

Tubingen, Ujerumani MWANAMUZIKI maarufu wa Reggae barani Afrika Jhikoman ambaye yupo ziara ya kikazi barani Ulaya, juzi aliwasili katika Mji wa Tubingen, Ujerumani kwa ajili…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari