WATU watatu wakazi wa Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wamehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kufanya mauaji. Hukumu hiyo…
Continue Reading....Author: jomushi
Balozi wa Palestina Awaomba Wanahabari Tanzania Kupaza Sauti
BALOZI wa Palestina nchini Tanzania, Nasri Abu Jaish amevitaka vyombo vya habari nchini Tanzania kusaidia kupaza sauti dhidi ya vitendo vya uonevu na mauaji yanayofanywa…
Continue Reading....Mtandao wa Wanawake na Katiba Wazungumzia Mchakato wa Katiba
MTANDAO wa Wanawake na Katiba umevitaka vyombo vya habari kuacha kuyumbushwa na upepo wa kisiasa katika suala zima la kupigania mambo ya msingi kwa jamii…
Continue Reading....Upanuzi wa Barabara Dar
Fundi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),ambaye jina lake alikufahamika mara moja alikutwa akiamisha nyaya za umeme kwa ajili ya maandalizi ya upanuzi wa barabara…
Continue Reading....Jhikoman Atingisha International African Festival Ujerumani
Tubingen,Ujerumani, Mwanamuziki maarufu wa reggae barani Afrika Jhiko Manyika aka Jhikoma kutoka Bagamoyo,Tanzania,alifanikiwa kuwadatisha akili washabiki wa muziki nchini ujerumani siku ya alhamisi 17 julai…
Continue Reading....