Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 796

Author: jomushi

Mfuko wa Pensheni wa PPF Wafuturisha Wafanyakazi

Posted on: July 22, 2014 - jomushi
Mfuko wa Pensheni wa PPF Wafuturisha Wafanyakazi

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, akipakua chakula wakati  futari iliyoandaliwa na ofisi yake katika hoteli ya serena. Ofisa Mahusiano wa…

Continue Reading....

Serikali Kujenga Reli ya Mtwara – Mbamba Bay

Posted on: July 22, 2014 - jomushi
Post Tags: Serikali Kujenga Reli ya Mtwara
Serikali Kujenga Reli ya Mtwara – Mbamba Bay

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ametangaza rasmi kuwa Serikali itajenga Reli ya kuunganisha Bandari ya Mtwara, Mkoa wa Mtwara na Bandari…

Continue Reading....

Utoro na Mimba za Wanafunzi Zamsikitisha Rais Kikwete

Posted on: July 22, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Utoro na Mimba za Wanafunzi Zamsikitisha Rais Kikwete
Utoro na Mimba za Wanafunzi Zamsikitisha Rais Kikwete

Utoro na Mimba za Wanafunzi Zamsikitisha Rais Kikwete Na Mwandishi Maalum, RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameshtushwa na kiwango kikubwa…

Continue Reading....

Tiketi za Kumuona Kansiime Zaanza Kuuzwa

Posted on: July 21, 2014 - jomushi
Tiketi za Kumuona Kansiime Zaanza Kuuzwa

 

Continue Reading....

TMT; Nani Kuchomwa na Jua la Utosi Wiki Hii

Posted on: July 21, 2014 - jomushi
TMT; Nani Kuchomwa na Jua la Utosi Wiki Hii

ILI KUWANUSURU AU KUMNUSURU MSHIRIKI UMPENDAE AENDELEE KUWEPO NDANI YA NYUMBA YA TMT UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUMPIGIA KURA KWA WINGI SANA. JINSI YA KUPIGA KURA…

Continue Reading....

Wahukumiwa Kunyongwa hadi Kufa Baada ya Kuua kwa Makusudi

Posted on: July 21, 2014 - jomushi
Wahukumiwa Kunyongwa hadi Kufa Baada ya Kuua kwa Makusudi

Watu watatu wakazi wa wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro wamehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kufanya mauaji Hukumu hiyo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari