Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 774

Author: jomushi

Maadhimisho ya Siku ya Vijana 2014 Kufanyika Agosti 12

Posted on: August 11, 2014 - jomushi
Post Tags: Maadhimisho ya Siku ya Vijana 2014
Maadhimisho ya Siku ya Vijana 2014 Kufanyika Agosti 12

SIKU ya Vijana Duniani itafanyika tarehe 12 Agosti, 2014 ikiwa na lengo la kuyafanya masuala mbalimbali ya vijana kutambulika katika jamii ya Kimataifa. Mwaka huu,…

Continue Reading....

Rais Kikwete Aeleza Siri ya Utulivu na Amani Tanzania

Posted on: August 11, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Siri ya Utulivu na Amani Tanzania
Rais Kikwete Aeleza Siri ya Utulivu na Amani Tanzania

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Tanzania imeendelea kuwa nchi tulivu, yenye umoja na amani kwa sababu ya sera…

Continue Reading....

Mama Shujaa wa Chakula 2014 Akabidhiwa Zawadi Ukerewe

Posted on: August 11, 2014 - jomushi
Post Tags: Mama Shujaa wa Chakula 2014
Mama Shujaa wa Chakula 2014 Akabidhiwa Zawadi Ukerewe

MSHINDI wa Maisha Plus (Mama shujaa wa chakula) msimu wa tatu 2014, Bahati Jacob Muriga hatimaye amekabidhiwa zawadi zake nyumbani kwake Ukerewe. Zawadi hizo ni pamoja…

Continue Reading....

Makamu wa Rais Dk Bilal Afungua Kongamano la Wanasayansi Vijana

Posted on: August 11, 2014 - jomushi
Post Tags: Makamu wa Rais Dk Bilal Afungua Kongamano la Wanasayansi Vijana
Makamu wa Rais Dk Bilal Afungua Kongamano la Wanasayansi Vijana

Continue Reading....

Tanzania Mwenyeji Mashindano ya Karate

Posted on: August 11, 2014 - jomushi
Post Tags: Tanzania Mwenyeji Mashindano ya Karate
Tanzania Mwenyeji Mashindano ya Karate

Na Rose Masaka – MAELEZO UMOJA wa Wapiganaji wa Sanaa ya Mapigano Duniani (UPAM) unaandaa shindano la kimataifa la wapiganaji ambalo linatarajiwa kufanyika nchini kati…

Continue Reading....

Mama Pinda Asema Wanawake Duniani Wanalilia Amani

Posted on: August 10, 2014 - jomushi
Mama Pinda Asema Wanawake Duniani Wanalilia Amani

  MKE wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda amesema wanawake wote duniani wanalilia amani na hawapendi vita wala machafuko kwani husababisha amani kutoweka kwenye familia…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari