Habari/Picha na Rose Mdami wa NIDA ZOEZI la Usajili Vitambulisho vya Taifa limeendelea mkoani Mtwara, ambapo wananchi wamejitokeza kwa wingi kujisajili, kama wakazi hawa wa…
Continue Reading....Author: jomushi
JK Atuma Rambirambi Vifo vya Watu 19 Mkoani Tabora
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatma Mwasa kufuatia ajali ya…
Continue Reading....Tanzania Mwenyeji Mashindano ya Shule za Sekondari Afrika Mashariki
TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MASHINDANO YA SHIRIKISHO LA MICHEZO YA SHULE ZA SEKONDARI AFRIKA MASHARIKI Tanzania imepewa heshima ya kuwa Mwenyeji wa mashindano ya Michezo…
Continue Reading....Mamlaka ya Elimu Tanzania Kukabidhi Madawati 2000
Frank Mvungi – Maelezo MAMLAKA ya Elimu Tanzania inatarajia kukabidhi madawati 2,000 kwa shule za Msingi 10 zilizopo jijini Dar es Salaam ikiwa ni hatua…
Continue Reading....Rais Kikwete Aandika Historia: Aanzisha Ujenzi Daraja la Kilombero
HISTORIA imeandikwa, Agosti 20, 2014 katika Mkoa wa Morogoro na katika Tanzania. Kwa mara ya kwanza tokea enzi na enzi, magari yameweza kuvuka Mto wa…
Continue Reading....Ruvuma Yazinduwa Kampeni ya Bwela Kuni na Wimbo Maalum
BAADHI ya Vijana kutokea Mkoa wa Ruvuma wakishirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo wameandaa kampeni maalum ya kunadi fursa anuai zilizopo katika mkoa huo kupitia…
Continue Reading....