Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 759

Author: jomushi

Mashindano ya Kukuna Nazi kwa Akinababa, Bonanza la Toyota Tanzania

Posted on: August 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Bonanza, Toyota Tanzania, Wafanyakazi
Mashindano ya Kukuna Nazi kwa Akinababa, Bonanza la Toyota Tanzania

 Wafanyakazi wanaume wa Kampuni ya Toyota Tanzania, wakishindana kukuna Nazi wakati wa Bonanza maalumu la kuwapongeza wafanyakazi lililoandaliwa na Kampuni hiyo lililofanyika kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach…

Continue Reading....

Makanisa Singida Yawakemea Wabunge Bunge la Katiba

Posted on: August 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Makanisa, Singida, Wabunge Bunge la Katiba
Makanisa Singida Yawakemea Wabunge Bunge la Katiba

Askofu wa kanisa la Evanglist Assembels of God Tanzania (E.A.G.T) Singida mjini, John Mafwimbo akizungumza kwenye mkutano wa Injili uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya…

Continue Reading....

Je, Kwanini Wanawake Husifika kwa Vitendo vya Ukatili?

Posted on: August 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Vitendo vya Ukatili, wanawake
Je, Kwanini Wanawake Husifika kwa Vitendo vya Ukatili?

Na Happy Joseph NIMEJARIBU kuchambua kwa kadri nilivyoweza na kwa ufupi(japo haitaonekana kama uchambuzi mfupi) Matukio ya kinyama kwa ujumla wake bila kuseparate jinsia yanasababishwa…

Continue Reading....

Kampeni ya Kupinga Ndoa za Utotoni Kuzinduliwa Dar

Posted on: August 25, 2014August 26, 2014 - jomushi
Post Tags: Kampeni Kupinga, Ndoa za Utotoni, Yazinduliwa Dar
Kampeni ya Kupinga Ndoa za Utotoni Kuzinduliwa Dar

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam SERIKALI kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, kwa kushirikiana na mashirika na asasi anuai zinazotetea haki…

Continue Reading....

Mjane wa Nelson Mandela Awasili Tanzania…!

Posted on: August 24, 2014 - jomushi
Post Tags: Graca, Mjane wa Nelson Mandela, tanzania
Mjane wa Nelson Mandela Awasili Tanzania…!

Continue Reading....

Washiriki 10 Bora wa TMT Watinga Studio za TIMES FM

Posted on: August 24, 2014 - jomushi
Post Tags: Studio, TIMES FM, TMT
Washiriki 10 Bora wa TMT Watinga Studio za TIMES FM

Waendeshaji wa Kipindi cha Filamu Monata kinachorushwa na Kituo cha Redio cha TIMES FM 100.5 wakiendelea na majukumu katika studio za kituo hiko cha Redio…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari