Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 742

Author: jomushi

Vijana Mwanza Wapewa Semina Juu ya Unyanyasaji wa Kijinsia

Posted on: September 8, 2014September 8, 2014 - jomushi
Post Tags: Mwanza, Unyanyasaji wa Jinsia, Vijana
Vijana Mwanza Wapewa Semina Juu ya Unyanyasaji wa Kijinsia

Mwandishi Wetu, Mwanza MWANAHARAKATI wa Shirika la Kutetea Haki za Wanawake la KIVULINI jijini Mwanza, Bi. Khadija Liganga ametoa mafunzo kuhusu Unyanyasaji wa kijinsia na…

Continue Reading....

Kumbe Yanga Hawana Mkataba na Okwi, TFF Yasema Yupo Huru Kusajiliwa

Posted on: September 7, 2014 - jomushi
Post Tags: Emmanuel Okwi, Simba, yanga
Kumbe Yanga Hawana Mkataba na Okwi, TFF Yasema Yupo Huru Kusajiliwa

KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana Septemba 7 mwaka huu na kupitia masuala mbalimbali ikiwemo…

Continue Reading....

Takwimu Zabaini Asilimia 27 ya Watoto Tanzamia Wanatumikishwa

Posted on: September 7, 2014 - jomushi
Post Tags: Takwimu, tanzania, Utumikishaji watoto
Takwimu Zabaini Asilimia 27 ya Watoto Tanzamia Wanatumikishwa

Na Anna Nkinda – Maelezo TAKWIMU zinaonesha kuwa idadi ya watoto wanaotumikishwa Duniani inafikia milioni 169 kati ya hao wapo wenye umri wa miaka mitano,…

Continue Reading....

Fujo za Mashabiki wa Diamond Zasababisha Hasara ya Mil. 600

Posted on: September 7, 2014 - jomushi
Post Tags: diamond, Fujo za Mashabiki, Hasara kubwa
Fujo za Mashabiki wa Diamond Zasababisha Hasara ya Mil. 600

*Promota wa onesho hilo, Awin Williams Matatani FUJO zilizofanywa nchini Ujerumani na mashabiki na wapenzi wa msanii nyota wa muziki wa bongo fleva kutoka Tanzania,…

Continue Reading....

Uchakavu wa Shilingi 500, Wailazimu BOT Kutoa Sarafu

Posted on: September 7, 2014 - jomushi
Post Tags: BOT, Sarafu ya Shilingi 500
Uchakavu wa Shilingi 500, Wailazimu BOT Kutoa Sarafu

Na Frank Mvungi, MAELEZO BENKI Kuu ya Tanzania imetoa toleo jipya la sarafu ya shilingi 500 itakayoanza kutumika Oktoba 2014 itakayokuwa mbadala wa Noti ya…

Continue Reading....

FIFA, TFF Kutoa Kozi ya Ukufunzi Desemba

Posted on: September 7, 2014 - jomushi
Post Tags: FIFA, Kozi ya Ukufunzi, TFF
FIFA, TFF Kutoa Kozi ya Ukufunzi Desemba

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) wameandaa kozi ya ukufunzi wa utawala itakayofanyika…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari