Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 721

Author: jomushi

Ushirikiano Utapunguza Vifo vya Saratani kwa Kinamama

Posted on: September 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Saratani kwa Kinamama, Vifo
Ushirikiano Utapunguza Vifo vya Saratani kwa Kinamama

Na Anna Nkinda – Maelezo, New York USHIRIKIANO wa pamoja unatakiwa kuhakikisha wagonjwa wanaougua saratani za mlango wa kizazi, matiti na tezi dume wanapata matibabu kwa wakati…

Continue Reading....

Rais Kikwete ‘Ajivunia’ Uhuru wa Habari Tanzania Mkutanoni

Posted on: September 25, 2014September 26, 2014 - jomushi
Post Tags: tanzania, Uhuru wa Habari
Rais Kikwete ‘Ajivunia’ Uhuru wa Habari Tanzania Mkutanoni

Na Mwandishi Maalum, New York TANZANIA inatarajiwa kupata sheria ya Uhuru wa kupata Habari ifikapo Mwezi Februari, Mwaka 2015. Rais Jakaya Kikwete amesema hayo Septemba…

Continue Reading....

Mameneja Redio za Jamii Wanolewa…!

Posted on: September 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Redio za Jamii
Mameneja Redio za Jamii Wanolewa…!

Meneja wa Kituo cha Habari na Mawasiliano cha Redio Sengerema mkoani Mwanza Bw. Felician Ncheye, akiwakaribisha na kuwatambulisha wawezeshaji kwa washiriki wakati wa ufunguzi wa mafunzo…

Continue Reading....

Matukio Picha Semina ya NSSF kwa Maofisa Ajira na Fedha Jijini Dar

Posted on: September 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Matukio, NSSF, Semina
Matukio Picha Semina ya NSSF kwa Maofisa Ajira na Fedha Jijini Dar

Continue Reading....

NSSF Yatoa Semina Kwa Maofisa Ajira na Fedha Dar

Posted on: September 25, 2014September 25, 2014 - jomushi
Post Tags: Maofisa Ajira, NSSF Yatoa, Semina
NSSF Yatoa Semina Kwa Maofisa Ajira na Fedha Dar

Na Joachim Mushi SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Temeke limefanya semina kwa maofisa ajira na Fedha zaidi ya 150 kutoka…

Continue Reading....

JK: Mabadiliko ya Tabia Nchi Yanahatarisha Uhai wa Binadamu

Posted on: September 24, 2014 - jomushi
Post Tags: Mabadiliko ya Tabia Nchi, Uhai wa Binadamu
JK: Mabadiliko ya Tabia Nchi Yanahatarisha Uhai wa Binadamu

MABADILIKO ya Tabia Nchi duniani yanahatarisha Uhai na Maendeleo ya Binadamu, ikiwemo kurudisha nyuma au kufuta kabisa Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii yaliyokwishapatikana. Rais Jakaya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari