Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 671

Author: jomushi

Rais Kikwete Aendelea Vyema Hospitali

Posted on: November 10, 2014 - jomushi
Post Tags: Jakaya
Rais Kikwete Aendelea Vyema Hospitali

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Liberata Mulamula aliyekwenda kumjulia hali katika hospitali ya John Hopkins iliyopo Baltimore, Maryland, nchini…

Continue Reading....

Lowassa Azindua Helkopta ya Kanisa la Ufufuo na uzima

Posted on: November 10, 2014 - jomushi
Lowassa Azindua Helkopta ya Kanisa la Ufufuo na uzima

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima,Kawe jijini…

Continue Reading....

Pinda Ataka Vita Dhidi ya Majangili Iwe ya Pamoja

Posted on: November 10, 2014 - jomushi
Pinda Ataka Vita Dhidi ya Majangili Iwe ya Pamoja

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Aggrey Mwanri mara  baada ya kuwasili kwenye makao makuu ya jumuiya…

Continue Reading....

Multiple Myeloma Muuaji wa Kimyakimya Tanzania

Posted on: November 10, 2014 - jomushi
Post Tags: Magonjwa ya kansa
Multiple Myeloma Muuaji wa Kimyakimya Tanzania

KILA MWAKA kesi mpya zinazohusiana na ugonjwa wa saratani huripotiwa kuwa chanzo kikuu cha vifo vingi nchini Tanzania. Wataalamu wanatabiri hatua madhubuti zisipochukuliwa mapema kukabiliana…

Continue Reading....

Rais Kikwete Afanyiwa Upasuaji Marekani…!

Posted on: November 9, 2014 - jomushi
Post Tags: Marekani, Rais Kikwete, Upasuaji
Rais Kikwete Afanyiwa Upasuaji Marekani…!

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, Novemba 8, 2014, alifanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko…

Continue Reading....

JK Amtumia Salam za Rambirambi Joel Bendera

Posted on: November 7, 2014 - jomushi
JK Amtumia Salam za Rambirambi Joel Bendera

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mheshimiwa Dkt.Joel Bendera kuomboleza vifo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari