Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 666

Author: jomushi

Vyama Visivyo na Wabunge Vyaibuka na Sakata la IPTL

Posted on: November 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Sakata la IPTL, Vyama, wabunge
Vyama Visivyo na Wabunge Vyaibuka na Sakata la IPTL

MAKATIBU wakuu wa vyama vitano vya kisiasa visivyo na wabunge bungeni wameomba suala la utata wa ufisadi zaidi ya sh.bilioni 300 zilizowekwa katika akaunti ya…

Continue Reading....

Paka Amponza Mfugaji, Amfunga Miaka 3 Jela

Posted on: November 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Amfunga Miaka 3, Jela Rombo, Paka
Paka Amponza Mfugaji, Amfunga Miaka 3 Jela

MAHAKAMA ya mwanzo Mengwe wilayani Rombo imemhukumu mkazi wa Rombo, Godfrey Kimaryo(32) kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kupatikana na hatia ya kufanya…

Continue Reading....

Samsung, UNESCO Kujenga Kijiji cha Digitali Loliondo

Posted on: November 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Kijiji cha Digitali, Loliondo, Samsung, UNESCO
Samsung, UNESCO Kujenga Kijiji cha Digitali Loliondo

Mwakilishi mkazi shirika la UNESCO nchini Bi. Zulmira Rodrigues  na Mkurugenzi wa  Samsung Electronics nchini Tanzania, Bw. Mike Seo wakibadilishana nyaraka za makubaliano hayo yaliyofanyika…

Continue Reading....

Machinga Complex Yawaka Moto Dar….!

Posted on: November 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Dar, Machinga Complex, Moto
Machinga Complex Yawaka Moto Dar….!

SOKO maharufu la kisasa la wafanyabiashara ndogondogo Machinga Complex lililopo jijini Dar es Salaam limewaka moto kwa baadhi ya maduka na kuteketeza baadhi ya mali…

Continue Reading....

Marekani Yatamba Kufanikiwa Mapigano na Islamic State

Posted on: November 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Islamic State, Marekani
Marekani Yatamba Kufanikiwa Mapigano na Islamic State

MKUU wa majeshi ya Marekani Generali Jack Dempsey amesema kampeni ya miezi mitatu dhidi ya dola ya kiislamu ‘Islamic State’ imekuwa na mafanikio, lakini akaeleza…

Continue Reading....

Apigana Makaburini, Ataka Mwili wa G Mabovu Ufukuliwe…!

Posted on: November 14, 2014 - jomushi
Post Tags: Makaburini, Mlevi apigana, Msanii G Mabovu
Apigana Makaburini, Ataka Mwili wa G Mabovu Ufukuliwe…!

MATUKIO ya vituko yameonekana kutawala msiba wa msanii G Mabovu Iringa pale mlevi mmoja alipoamua kutembeza kichapo kwa wafiwa huku akishinikiza aruhusiwe kuufukua mwili wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari