Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 622

Author: jomushi

Boko Haram Wateka Kambi ya Jeshi Nigeria, Shahidi wa ICC Afariki

Posted on: January 4, 2015 - jomushi
Post Tags: Boko Haram, ICC Afariki, Jeshi Nigeria
Boko Haram Wateka Kambi ya Jeshi Nigeria, Shahidi wa ICC Afariki

MAOFISA nchini Nigeria wamesema kuwa kundi la Boko Haram limeuteka Mji na kambi moja ya kijeshi inayotumiwa na wanajeshi wa kimataifa wanaojaribu kukabiliana na wapiganaji…

Continue Reading....

Rais Kikwete Akirejesha Kiwanda cha Chai kwa Wananchi

Posted on: January 4, 2015 - jomushi
Post Tags: Kiwanda cha Chai, Rais Kikwete
Rais Kikwete Akirejesha Kiwanda cha Chai kwa Wananchi

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, Januari Makamba wakati alipowasili jimboni humo katika wilaya ya  Lushoto. akiwa…

Continue Reading....

Kwanini Bei ya Mafuta Haishuki kwa Kasi?

Posted on: January 4, 2015 - jomushi
Post Tags: Dizeli, EWURA, Petroli
Kwanini Bei ya Mafuta Haishuki kwa Kasi?

KUANZIA Mwezi Julai mwaka 2014 mpaka Desemba, bei ya mafuta ghafi imekuwa ikishuka kutoka $110 kwa pipa mpaka $56 kwa pipa. Mporomoko huu wa bei…

Continue Reading....

Miss Singida 2014 Atoa Misaada Wodi ya Wazazi

Posted on: January 4, 2015January 4, 2015 - jomushi
Post Tags: Miss Singida 2014, Wodi ya Wazazi
Miss Singida 2014 Atoa Misaada Wodi ya Wazazi

Miss Singida 2014 Dorice Mollel akizungumza muda mfupi kabla ya kukabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi 1.2 milioni kwenye wodi ya watoto…

Continue Reading....

Rais Kikwete Amteua Masaju Kumrithi Werema

Posted on: January 4, 2015 - jomushi
Post Tags: George Masaju, Mwanasheria Mkuu, serikali
Rais Kikwete Amteua Masaju Kumrithi Werema

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemteua George Mcheche Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Uteuzi wa Masaju ulianza Januari 2,…

Continue Reading....

Taarifa za ‘Panya Road’ Zazua Taharuki Dar, Shughuli Zasimama

Posted on: January 2, 2015 - jomushi
Post Tags: Panya Road, Taarifa, Taharuki Dar
Taarifa za ‘Panya Road’ Zazua Taharuki Dar, Shughuli Zasimama

TAARIFA za uvamizi wa kundi la wahalifu maarufu kama ‘Panya Road’ jijini Dar es Salaam zimezua taharuki kubwa na kusababisha wakazi wa wa jiji sehemu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari