Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 580

Author: jomushi

Mshindi wa Tatu Miss Tanzania 2014 Achangia Damu

Posted on: March 10, 2015March 10, 2015 - jomushi
Post Tags: Damu, Miss Tanzania 2014
Mshindi wa Tatu Miss Tanzania 2014 Achangia Damu

Mshindi wa tatu wa Miss Tanzania 2014, Doris Mollel akishiriki zoezi la uchangiaji damu katika ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Siku ya wanawake Duniani, iliyofanyika Buguruni Chama jijini…

Continue Reading....

Tamko la Maaskofu Katoliki Juu ya Kura ya Maoni

Posted on: March 10, 2015 - jomushi
Post Tags: Katoliki, Maaskofu, TEC
Tamko la Maaskofu Katoliki Juu ya Kura ya Maoni

BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA BARUA YA KICHUNGAJI “Nanyi kwa subira yenu mtaziponya nafsi zenu” (Lk. 21: 19) Sisi Maaskofu wenu tulikutana kusali na kutafakari…

Continue Reading....

Angalia Mgao wa Milioni 436 za Yanga na Simba

Posted on: March 10, 2015 - jomushi
Post Tags: Mechi, Simba, yanga
Angalia Mgao wa Milioni 436 za Yanga na Simba

MECHI namba 117 iliyowakutanisha Simba na Yanga katika uwanja wa Taifa, imeingiza jumla ya sh. milioni 436,756,000 kutokana na idadi ya watazamaji 49,758 waliokata tiketi…

Continue Reading....

NSSF Washiriki Mbio za Kilimanjaro Marathon

Posted on: March 10, 2015 - jomushi
Post Tags: Kilimanjaro, Marathon, NSSF
NSSF Washiriki Mbio za Kilimanjaro Marathon

MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeshiriki kwenye Mbio za nyika za zinazoendelea kuwa maarufu mwaka hadi mwaka Kilimanjaro ambazo zimefanyika kwa mwaka…

Continue Reading....

Rais Kikwete Awaongoza Wanawake Maadhimisho ya Wanawake Duniani

Posted on: March 9, 2015 - jomushi
Post Tags: Duniani, Rais Kikwete, wanawake

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa kwa furaha alipowasili uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 kuongoza kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake…

Continue Reading....

UNESCO Wafadhili Kozi Kuboresha Mitaala ya Elimu Afrika

Posted on: March 9, 2015 - jomushi
Post Tags: Elimu Afrika, Mitaala, UNESCO
UNESCO Wafadhili Kozi Kuboresha Mitaala ya Elimu Afrika

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari