Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 505

Author: jomushi

Askofu International Evangelism Church Awataka Watanzania Kujiandikisha…!

Posted on: June 12, 2015 - jomushi
Askofu International Evangelism Church Awataka Watanzania Kujiandikisha…!

Na woinde shizza, Arusha ASKOFU Mkuu wa Kanisa la International Evangelism Church Eliud Isanja  amewataka Watanzania wajitokeze kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga…

Continue Reading....

Watangaza Nia CCM Waendelea Kusaka Wadhamini; Lowassa, Wasira na Membe…!

Posted on: June 12, 2015 - jomushi
Post Tags: Lowassa, Membe, Wasira
Watangaza Nia CCM Waendelea Kusaka Wadhamini; Lowassa, Wasira na Membe…!

  Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akisalimiana na motto mwenye ulemavu wa ngozi, Kabula Zacharia, anayetunzwa kwenye kituo cha kulea watu wenye ulemavu…

Continue Reading....

Taifa Stars Kuwafuata Misri Kufuzu AFCON…!

Posted on: June 12, 2015 - jomushi
Taifa Stars Kuwafuata Misri Kufuzu AFCON…!

TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premier Lager, leo ijumaa inatarajiwa kuondoka Addis Ababa Ethiopia kuelekea nchini Misri tayari…

Continue Reading....

DC Kinondoni Apiga Marufuku Wachimba Mchanga Mbezi na Kawe

Posted on: June 12, 2015 - jomushi
Post Tags: Wachimba Mchanga Mbezi na Kawe
DC Kinondoni Apiga Marufuku Wachimba Mchanga Mbezi na Kawe

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na wakazi wa Mbezi na Kawe Ukwamani ambao nyumba zao zilibomoka kutokana na mmomonyoko wa ardhi uliosababishwa…

Continue Reading....

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Akana Kuidalalia Ardhi…!

Posted on: June 10, 2015 - jomushi
Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Akana Kuidalalia Ardhi…!

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiwa na mkuu wa wilaya ya Moshi, Novatus Makunga katika mkutano huo na wanahabari. Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali ya habari mkoani…

Continue Reading....

Rais Kikwete Akiwa Katika Ziara Mjini The Hague

Posted on: June 10, 2015 - jomushi
Rais Kikwete Akiwa Katika Ziara Mjini The Hague

 Watanzania waishio Uholanzi walikusanyika siku ya Jumatatu Juni 9, 2015 katika hoteli ya Crowne Plaza jijini The Hague kukutana na kumsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari