Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 426

Author: jomushi

Himo FC Waibuka Mabingwa Mbatia CUP 2015…!

Posted on: August 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Mbatia CUP
Himo FC Waibuka Mabingwa Mbatia CUP 2015…!

  Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia akiwasili katika uwanja wa Himo Polisi kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Mashindano ya Kombe la Jimbo,…

Continue Reading....

NCCR-Mageuzi; Hatujajitoa UKAWA, Wataja Majimbo Yao 19

Posted on: August 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Majimbo, NCCR-MAGEUZI
NCCR-Mageuzi; Hatujajitoa UKAWA, Wataja Majimbo Yao 19

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimesema taarifa zinazozagaa kuwa chama hicho kimejitoa ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) hazina…

Continue Reading....

Wasanii Makada wa CCM Kuzunguka Kuipigania Ishinde Uchaguzi

Posted on: August 20, 2015August 20, 2015 - jomushi
Post Tags: CCM, wasanii
Wasanii Makada wa CCM Kuzunguka Kuipigania Ishinde Uchaguzi

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam WASANII ambao ni makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameandaa Tamasha kubwa kuzunguka nchi nzima kwa pamoja na kukinadi…

Continue Reading....

Mashindano Mbio za Mashua ‘Mercedes Benz Cup 2015’ Yafanyika

Posted on: August 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Mercedes Benz Cup
Mashindano Mbio za Mashua ‘Mercedes Benz Cup 2015’ Yafanyika

Mashua zenye tanga zinazojaza upepo zikichanja mbuga katika mawimbi makali kwenye bahari ya hindi kwenye fukwe za Yatch Club wakati wa mashindano ya mbio za…

Continue Reading....

NEC Yataja Vituo vya Kuhakiki Daftari la Wapiga Kura Dar es Salaam

Posted on: August 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Daftari la Wapiga Kura
NEC Yataja Vituo vya Kuhakiki Daftari la Wapiga Kura Dar es Salaam

Continue Reading....

Kipindupindu Chaendelea Dar, Wagonjwa Wafikia 43

Posted on: August 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Kipindupindu
Kipindupindu Chaendelea Dar, Wagonjwa Wafikia 43

 Muuguzi Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Nusura Kessy (kushoto), akiwaelekeza wauguzi wa saidizi wake namna ya kuchanganya dawa maalumu ya kuondoa vijiji vinavyoweza kuambukiza ugonjwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari