Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 41

Author: jomushi

Wizara Yatuma Rambirambi Kifo cha Mzee Francis Maige

Posted on: May 31, 2017May 31, 2017 - jomushi
Wizara Yatuma Rambirambi Kifo cha Mzee Francis Maige

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe leo ametuma ubani na salamu za rambirambi kwa familia ya msanii mkongwe katika fani…

Continue Reading....

Uzinduzi wa Utafiti wa Makampuni 100 Bora 2017

Posted on: May 31, 2017 - jomushi
Uzinduzi wa Utafiti wa Makampuni 100 Bora 2017

    Na Robert Okanda MAKAMPUNI ya kiwango cha kati yanatimiza jukumu muhimu katika maendeleo ya uchumi wa Tanzania. Kwa kutambua hilo, KPMG na Mwananchi…

Continue Reading....

Waandishi wa Habari za Kilimo Tanzania Wakutana Mwanza

Posted on: May 31, 2017May 31, 2017 - jomushi
Waandishi wa Habari za Kilimo Tanzania Wakutana Mwanza

   Katibu wa Chama hicho, Elias Msuya akizungumza katika kikao hicho. Kulia ni Mtunza Fedha wa chama hicho, Ellen Manyangu.  Wanachama wakiwa kwenye kikao hicho.…

Continue Reading....

KIFAA CHA DIJITALI KUWAWEZESHA WAKULIMA WADOGO TANZANIA…!

Posted on: May 31, 2017 - jomushi
KIFAA CHA DIJITALI KUWAWEZESHA WAKULIMA WADOGO TANZANIA…!

  Wakulima wadogo nchini Tanzania hivi karibuni wataweza kupata taarifa mbalimbali za kijiditali kuhusu masuala ya pembejeo, ukiwemo ushauri utakaosaidia kutatua matatizo yanayowakabili kama vile…

Continue Reading....

RC GAMBO AWATAKA WATUMISHI KUTOOGOPA KUSTAAFU

Posted on: May 31, 2017 - jomushi
RC GAMBO AWATAKA WATUMISHI KUTOOGOPA KUSTAAFU

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Eric Shitindi akizungumza katika mkutano huo ambapo alisema ni vyema watumishi wakajianda mapema wakiwemo…

Continue Reading....

Hospitali ya Wilaya Mkuranga Yakabidhiwa Gari la Wagonjwa na Vifaa Tiba

Posted on: May 31, 2017 - jomushi
Post Tags: Afya Tanzania
Hospitali ya Wilaya Mkuranga Yakabidhiwa Gari la Wagonjwa na Vifaa Tiba

  NAIBU waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla mapema jana Mei 28.2017 amekabidhi gari maalum la kubebea…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari