Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua…
Continue Reading....Author: jomushi
Ussi Salum Awahutubia Wananchi Viwanja vya Mabanda ya Ngombe Unguja.
Msoma Utenzi akisoma Utenzi maalum wakati wa Uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni wa Jimbo la Chumbuni Unguja uliofanyika katika Viwanja vya Mabanda ya Ngombe Chumbuni…
Continue Reading....Wanawake Tofati Zenu za Vyama Zisiwazuie Kushirikiana katika Maendeleo
Wanawake wa mkoa wa Mara wameaswa kushirikiana kwa pamoja katika shughuli za maendeleo bila kuangalia tofauti ya itikadi zao za vyama kwa kufanya hivyo watajiletea…
Continue Reading....Msiwakekete Watoto – Mama Salma
Wakazi wa wilaya ya Tarime wametakiwa kuachana na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia hasa mila za ukeketaji na ndoa za utotoni kwa watoto wa kike.…
Continue Reading....Mwanasiasa Christopher Afariki Dunia kwa ajali
Mwanasiasa machachari nchini amefariki dunia leo asubuhi katika kijiji cha Msolwa karibu na chalinze mkani pwani kwa ajali ya gari Taarifa za awali zinasema mtikila…
Continue Reading....Watanzania Waaswa Kuzingatia Afya Bora ya Moyo
Na Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam, IkiwazimepitasikutatutokakuhadhimishwasikuyaMoyodunianimwakahuu, Watanzaniawameshauriwakufanyamaamuzibinafsikatikakujaliafyayamoyo. KaulimbiuyaSikuyaMoyodunianimwaka2015 inahusukuchaguaafyabora yamoyokwakilamtunakilamahali. Piainalengakuonyeshamatokeoambayomazingirayetuyanawezakuletajuuyauwezowetuwakufanyamaamuzi bora kwaajiliafyabora kwamoyowabinaadamu. Piasikuhiyoinatumikakuelimishajinsiambavyomazingiratunayoishiyanawezakuathirinakuongezahatariyamagonjwayanayohusiananamoyo. Kwamujibuwatakwimuyahivikaribuniya WHO iliyochapishwa Mei 2014, vifovyaugonjwawamoyonchini Tanzania vimefikia 11,031.…
Continue Reading....