Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 364

Author: jomushi

Mabalozi wa Rwanda na Ufaransa Watembelea AfCHPR

Posted on: October 18, 2015 - jomushi

Na Kulwa Mayombi, EANA MABALOZI wa Rwanda na Ufaransa wanaowakilisha nchi zao Tanzania wametembelea Mahakama ya Afrika ya Watu na Haki za Binadamu (AfCHPR) yenye…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Pinda Atoa Maneno ‘Mazito’ kwa Viongozi Kanisani

Posted on: October 18, 2015October 18, 2015 - jomushi

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema anamshukuru Mungu kwa kumuwezesha kumaliza salama utumishi wake Serikalini kwenye ngazi za juu ambao umedumu kwa takriban miaka 15. Akizungumza…

Continue Reading....

Mwili wa Deogratias Filikunjombe na Wenzake Waagwa Dar

Posted on: October 18, 2015October 18, 2015 - jomushi
Mwili wa Deogratias Filikunjombe na Wenzake Waagwa Dar

 Aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe enzi za Uhai wake. Msaidizi wa Mbunge huyo, Casablanga Haule enzi za Uhai wake.  Padri Plasdus Ngabuma enzi za…

Continue Reading....

Wanafunzi Washindi ‘Genius-Cup’ Wazawadiwa Dar

Posted on: October 18, 2015 - jomushi
Post Tags: Genius-Cup
Wanafunzi Washindi ‘Genius-Cup’  Wazawadiwa Dar

Wanafunzi Sita Washindi wa Shindano la Genius-Cup (mbele) wakiwa katika picha ya pamoja na vyeti vyao mara baada ya kuibuka washindi. Nyuma yao ni meza…

Continue Reading....

TTCL Yakutana na Wateja Wake Dar, Wiki ya Huduma…!

Posted on: October 17, 2015October 17, 2015 - jomushi
Post Tags: TTCL
TTCL Yakutana na Wateja Wake Dar, Wiki ya Huduma…!

 

Continue Reading....

Dk Magufuli Alia Kifo cha Deo Filikunjombe, Kepteni Silaa

Posted on: October 16, 2015 - jomushi

MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amepokea kwa mshtuko na huzuni nyingi taarifa za vifo vya Mbunge wa Jimbo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari