Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 352

Author: jomushi

Papa Wemba Afanya Maajabu Tamasha la Karibu Music Festival 2015

Posted on: November 8, 2015 - jomushi
Post Tags: Karibu Music Festival 2015
Papa Wemba Afanya Maajabu Tamasha la Karibu Music Festival 2015

Mwanamuziki nguli wa dansi kutoka DRC Congo, Papaa Wemba kushoto akiimba na kucheza sambamba na madansa wake jukwaani usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la…

Continue Reading....

Bondia Mwakansope Atalipa Kisasi Dhidi ya Ibrahimu Tamba..!

Posted on: November 8, 2015November 13, 2015 - jomushi
Post Tags: bondia tanzania

Na Mwandishi Wetu BONDIA Ibrahimu Tamba anapanda tena uringoni Novemba 22 katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es Salaam kuwania mkanda wa ubingwa na…

Continue Reading....

Rais Dk Magufuli Afuta Safari za Majuu, Watendaji Kwenda Vijijini kwa Wananchi

Posted on: November 8, 2015 - jomushi
Post Tags: Huduma za Maji Vijijini
Rais Dk Magufuli Afuta Safari za Majuu, Watendaji Kwenda Vijijini kwa Wananchi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amefuta safari zote za nje ya nchi kwa sasa na badala yake kuwataka watendaji…

Continue Reading....

Breaking Newz; Mkurugenzi Mkuu LHRC, Dk. Kijo Bisimba Apata Ajali Dar

Posted on: November 8, 2015 - jomushi
Post Tags: Ajali Dk. Kijo Bisimba
Breaking Newz; Mkurugenzi Mkuu LHRC, Dk. Kijo Bisimba Apata Ajali Dar

MKURUGENZI Mkuu wa Kituo cha Msaada wa Sheria na Haki za Binadamu, Dk. Hellen Kijo Bisimba amepata ajali leo jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu…

Continue Reading....

Angalia Orodha ya Wabunge Waliochaguliwa, Vyama na Majimbo Yao.

Posted on: November 7, 2015November 7, 2015 - jomushi
Post Tags: Orodha ya Wabunge Tanzania 2015
Angalia Orodha ya Wabunge Waliochaguliwa, Vyama na Majimbo Yao.

WABUNGE WALIOSHINDABOFYA HAPA; KUANGALIA MAJINA YA WABUNGE WALIOSHINDA

Continue Reading....

Rais Dk. Magufuli Aanza Kupanga Mikakati, Akutana na Makatibu Wakuu na Watendaji

Posted on: November 7, 2015November 7, 2015 - jomushi
Rais Dk. Magufuli Aanza Kupanga Mikakati, Akutana na Makatibu Wakuu na Watendaji

    Rais Dk. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam kupanga mikakati…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari