Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 262

Author: jomushi

Waziri Mkuu Awasimamisha Kazi Maafisa wawili Chato

Posted on: March 17, 2016 - jomushi
Waziri Mkuu Awasimamisha Kazi Maafisa wawili Chato

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi wawili wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato kwa tuhuma za ubadhirifu, rushwa na matumizi mabaya ya madaraka. Watumishi…

Continue Reading....

Kamati ya Bunge ya Miundombinu Yatembelea Bandari Dar es salaam

Posted on: March 17, 2016 - jomushi
Kamati ya Bunge ya Miundombinu Yatembelea Bandari Dar es salaam

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlakaya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Aloyce Matei, akitoa ufafanuzi kuhusu namna Kamera zinazoendelea kufungwa katika Bandari hiyo kwa Wajumbe…

Continue Reading....

Simbachawene Awataka ma RC Kufanya Kazi Kulingana na Kasi ya Rais

Posted on: March 17, 2016 - jomushi
Simbachawene Awataka ma RC Kufanya Kazi Kulingana na Kasi ya Rais

Na Jacquiline Mrisho Maelezo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,TAMISEMI, George Simbachawene amewataka Wakuu wa Mikoa walioapishwa kufanya kazi kwa bidii na kutumia muda mwingi…

Continue Reading....

Tanzania Miongoni mwa Nchi Zisizo na Furaha Diniani

Posted on: March 16, 2016 - jomushi
Post Tags: Maendeleo Tanzania
Tanzania Miongoni mwa Nchi Zisizo na Furaha Diniani

TANZANIA ni miongoni mwa nchi kumi za mwisho kwa viwango vya furaha kwa mujibu wa Ripoti ya Viwango vya Furaha Duniani ya mwaka 2016 ambayo…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Aagiza Kufutwa Umiliki wa Mashamba Makubwa 11 Ngara

Posted on: March 16, 2016 - jomushi
Post Tags: Waziri Mkuu Majaliwa
Waziri Mkuu Aagiza Kufutwa Umiliki wa Mashamba Makubwa 11 Ngara

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kufutwa mara moja umiliki wa mashamba makubwa 11 yenye ukubwa wa ekari 7,700 kwenye vijiji vya Kasharazi na Rwakalemera wilayani…

Continue Reading....

Waziri Profesa Mbarawa Aipongeza Kampuni ya TTCL

Posted on: March 16, 2016 - jomushi
Post Tags: Kampuni TTCL
Waziri Profesa Mbarawa Aipongeza Kampuni ya TTCL

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa, ameipongeza Kampuni ya simu TTCL kwa juhudi inazofanya katika kutoa huduma za Mawasiliano nchini na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari