Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, akiingia katika Ukumbi wa CCM Makao Makuu mjini Dodoma, leo Julai…
Continue Reading....Author: jomushi
SERENGETI FIESTA LEADERS; NI NYOMI YA KUFA MTU
Umati wa watu na mashabiki wa SERENGETI FIESTA wakishangweka katika tamasha hilo ndani ya viwanja vya Leaders, jijini Dar es Salaam jana. Wasanii kibao walitumbuiza…
Continue Reading....Dk Bilal amtembelea Malecela Dodoma
Waziri Mkuu mstaafu John Malecela (kushoto) akimkaribisha Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal pamoja na mkewe walipomtembelea nyumbani kwake Dodoma. Dk. Bilal (kushoto) akizungumza na…
Continue Reading....Chuo cha Mwalimu Nyerere kufungua tawi Zanzibar
Mkuu wa Chuo hicho, Dk. John Magotti Benjamin Sawe, Maelezo Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kinatarajiwa kufungua rasmi tawi lake la Zanzibar ikiwa ni…
Continue Reading....Ajali mbaya Kilimanjaro; 11 wafa, 24 wajeruhiwa, 7 mahututi
Na Joyce Anael, Moshi WATU 11 wamefariki dunia na wengine 24 kujeruhiwa vibaya katika ajali mbaya iliyotokea katika eneo la barabara ya kibosho nje kidogo…
Continue Reading....Rais Kikwete awatumia rambirambi wafiwa ajali ya K’njaro
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mheshimiwa Meja Jenerali, Saidi Saidi…
Continue Reading....