Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ambae pia ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na Usalama Taifa (Mwenye T-Shirt ya…
Continue Reading....Author: jomushi
WAZAZI WASHAURIWA KUTUMIA AKAUNTI YA MTOTO

BENKI ya NMB imewashauri wazazi na walezi kuwafungulia watoto wao akaunti mbili mpya ambazo zimeanzishwa na benki hiyo ya Mtoto Akaunti na Chipukizi Akaunti kwa…
Continue Reading....BALOZI DK CHANA NA MWENYEKITI BODI YA LAPF WATEMBELEA BANDA LA LAPF SABASABA
Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Dr. Pindi Chana akisalimiana na Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe alipotembelea banda la…
Continue Reading....Ugonjwa wa Kisonono Sasa ‘Wagoma’ Kutibika…!
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetoa tahadhari kuwa, ugonjwa wa zinaa wa kisonono, umeanza kuwa sugu dhidi ya dawa ya kupambana na ugonjwa huo.…
Continue Reading....Makamu wa Rais, Samia Suluhu Atembelea Maonesho ya Biashara Sabasaba…!
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye banda la bidhaa zitokanazo na maziwa la Kampuni ya…
Continue Reading....WATANZANIA WASHINGTON, WAIRUDISHA LABOR DAY WEEKEND KWA KISHINDO

KAMA ILIVYOKUWA DESTURI YA WATANZANIA WAISHIO MAREKANI HAPO MIAKA YA NYUMA KUKUTANA WAKATI WA “LABOR DAY WEEKEND” NDANI YA WASHINGTON DC,SASA KUANZIA MWAKA HUU WATANZANIA…
Continue Reading....